Apps Baada ya simu kuwa Rooted..

Apps Baada ya simu kuwa Rooted..

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
wataalam wa It..

nimekuwa nikiona thread nyingi za watu wakitaka kuroot simu zao...

lakini wakiwa hawa sababu maalumu inayomfanya a rooted simu yake..
au ni apps gani anazipata na ku enjoy baada ya simu kuwa rooted 100%..

Nime Root simu yangu samsung galaxy S4..
Nilichoona kimebadilika ni simu yangu imekuwa faster sana,,

Bt watalaamu mnaweza mkatusaidia na kwa faida ya wengine... baada ya ku root simu ni apps gani nzuri unazoweza kuziweka kwenye simu na kufurahia matumizi ya simu..
na faida ya hiyoo app..

ymollel
Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama ukiroot simu inakuwa faster, labda kama kuna mods umefanya.

Na pia app za root ni nyingi labda useme upo interested na nini
 
Start with Titanium Backup, Greenify,Adaway,Es File Manager,Link2Sd .RomManager
 
Sidhani kama ukiroot simu inakuwa faster, labda kama kuna mods umefanya.

Na pia app za root ni nyingi labda useme upo interested na nini

labda the way navyoiona mm mkuu.... btbthe way simu yangu navyoiona.. ni tofauti na mwanzo.... haijabadilika features bt naona imekuwa faster samhow.... tofauti na mwanzo samtimes inakuta imestuck kama ukifungua app kubwa au file kubwa then ukabonyeza home button pad(minimizing)... hapo apps zitaloaad thn zinaonekana.. bt sasa haipo hivoo.. hata nikifunguaa apps kubwa au file kubwa halafu nikibonyeza home button... no loading
ndo maana nikasema imekuwa faster
 
Start with Titanium Backup, Greenify,Adaway,Es File Manager,Link2Sd .RomManager

thanks mkuuu....

ishu kujuaa faida ya apps...

dakika mbili zilizopita nimedownload hii wps connect... nimeipendaa ufanyaji wake wa kazi...
nimeweza kutumia wireless yenye kufuri...♥¤
 
Install Mega nitakupa direct link ya kudownload hizo app zikiwa in pro version
 
mkuuu likeness thanks kwa hiyoo app ya adaway..... aiseee.. no advertisements anymore....asante sana
 
Last edited by a moderator:
titanium backup inafanyaje kazi? msaada

1.Uninstall blotware
2.Backup app data
3.Uninstall System apps
4.Created flashable recovery zip for apps
5.Create dual profile for one app..kwa mfano unaeza katumia namba mbili kwenye whatsapp na Simu moja
 
wataalam wa It..

nimekuwa nikiona thread nyingi za watu wakitaka kuroot simu zao...

lakini wakiwa hawa sababu maalumu inayomfanya a rooted simu yake..
au ni apps gani anazipata na ku enjoy baada ya simu kuwa rooted 100%..

Nime Root simu yangu samsung galaxy S4..
Nilichoona kimebadilika ni simu yangu imekuwa faster sana,,

Bt watalaamu mnaweza mkatusaidia na kwa faida ya wengine... baada ya ku root simu ni apps gani nzuri unazoweza kuziweka kwenye simu na kufurahia matumizi ya simu..
na faida ya hiyoo app..

ymollel
Chief-Mkwawa

Yeap ni kweli kuna baadhi ya simu ukiRoot zinakuwa faster katika kuBOOT, yaani inawaka haraka kuliko ilivyokuwa UnRooted. vitu utakavyo enjoy baada ya kuROOT ni pamoja na:-
-utaweza kucheza na system files (hii ni hatari) na vitu kama vile kutoa sounds ambazo huwa ni default, kubadili boot image etc.
-unaweza kuweka Antitheft software, hard reset proof kama vile avast
-Unaweza kuInstall custom recovery kama vile CWM.
-Unaweza KuInstall apps za kuzuia matangazo
 
Thanks mkuu nimekueelewa sanaa..!!
asante sanaa
 
Thanks mkuu nimekueelewa sanaa..!!
asante sanaa

Mkuu hebu na mimi nielekeze namna ulivyo root simu yako mana na mimi ninayo s4 ila nimeshindwa kuroot bila kutumia computer
 
nna tecno y4 nimeiroot na nime uninstall built in apps nyingi mno nimebaki na zile apps muhimu tu...playstore nimeiondoa pia nikitaka apps naingia kwa browser natafta apk file husika....simu imekua fasta ktk ku boot na system ram iko less exhausted..yaani used haizidi 400mb out of 1024mb
 
Mkuu hebu na mimi nielekeze namna ulivyo root simu yako mana na mimi ninayo s4 ila nimeshindwa kuroot bila kutumia computer

mkuu ni app gani unatumiaaa kuroot simu yako.....
 
nna tecno y4 nimeiroot na nime uninstall built in apps nyingi mno nimebaki na zile apps muhimu tu...playstore nimeiondoa pia nikitaka apps naingia kwa browser natafta apk file husika....simu imekua fasta ktk ku boot na system ram iko less exhausted..yaani used haizidi 400mb out of 1024mb

hehehe umetisha mkuu hadi playstore umeichomoaaaa hehehe.. nouma sanaaaaa....
 
sioni faida ya playstore zaidi ya ku run in tha background na kumaliza ram tu..kama ni app napata apa androiddrawer.com au apkmirror.com au kokote...apps zisizo na maana kama browser ile inakuja na simu naondoa naweka uc browser...contact na dialer naondoa naweka idialer ambayo ina vyote na inakula ram chache tu...simu iko nyepesi zaidi kuliko cuz ni few resource tu ndo zipo kwa cache...simu ni fasta japo ni tecno battery lasts alot longer kuliko ...iyo ndo faida ya kuroot..
pia naweza weka custom rom pindi nnapohitaji...
 
Back
Top Bottom