Apps Baada ya simu kuwa Rooted..

Apps Baada ya simu kuwa Rooted..

Hata mimi nimeifuta, nikitaka app naingia Google nasearch app husika mfano instagram apk hapo utapata link kibao za kudownload then una install without playstore
Yaani nataka kijua Nina apps tayari na nikaondoa play store hizo apps zitafanyaje kazi bila play store
 
1.Uninstall blotware
2.Backup app data
3.Uninstall System apps
4.Created flashable recovery zip for apps
5.Create dual profile for one app..kwa mfano unaeza katumia namba mbili kwenye whatsapp na Simu moja
Nimekuelewa vizuri sana.
 
nna tecno y4 nimeiroot na nime uninstall built in apps nyingi mno nimebaki na zile apps muhimu tu...playstore nimeiondoa pia nikitaka apps naingia kwa browser natafta apk file husika....simu imekua fasta ktk ku boot na system ram iko less exhausted..yaani used haizidi 400mb out of 1024mb
Kwa wale waoga km Mimi hauna haja ya ku uninstall app km playstore bali unaiblock, kisha kill autostart.Ukifanya hivyo haitafanya kazi ila itakuwepo tu na unaweza kuitumia tena km utaihitaji.

NOTE:Ni hatari kuondoa system apps, Ila kwa njia hiyo utakuwa umesave RAM pia.
 
Hbr! Na mim nahitaji kuroot techno c5 yangu, nifanyeje? Maana nimeingia play store kuchek kingroot nikashindwa kujua nitumie ipi.!
 
Purify ni app nzuri kwa kufreez/hibernate auto start app
 
yes ni hatari kuondoa system app ila kwa mimi nna back up tecno y4 fimware ambayo ya ku refash simu pindi ikileta zengwe
 
Jaman, kuroot simu achen jabisa, unaweza kulia ndani ya sukunde moja tu! Hizi mambo weka mbali na watoto aisee!!!
 
Back
Top Bottom