Application za simu bora zaidi kwa mwaka 2014

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
638
1. WhatsApp Messenger

415005-whatsapp-revised.jpg

Ni Application inayotumiwa zaidi kwa sasa na watu kutumiana meseji, picha na video.

2. Shazam Encore

338355-shazam-encore.jpg

Ni Application inayoweza kutambua wimbo usioufahamu, uliousahau mwimbaji au jina la wimbo husika. Unachofanya ni kuweka karibu na spika yako na baada ya sekunde chache shazam itakuambia jina, mwimbaji na alibum yake.

3. Duolingo

25-free-apps-for-android-duolingo-001.jpg

Ni Application inayowezesha kujifunza lugha mbalimbali duniani

4. MIX by Camera360

screen568x568.jpeg

Ni Application ya ku-edit picha yako kuiongezea ung'aavu na mwonekano mzuri.

5. Calls Blacklist - Call Blocker

calls-blacklist-e1419314848797.png

Ni application unayoweza kumfungia namba za simu za watu usiotaka wakupate hewani, unachagua namba na kuiweka kwenye list na hawatakupata na ukitaka mpaka meseji zao unazifungia.

6. BBC CBEEBIES PLAYTIME
[h=2]
25-free-apps-for-android-cbeebies-playtime-001.jpg
[/h] Ni application kwa watoto wadogo inayoonyesha game za kuelimisha na kuburudisha, michezo na shughuli za watoto za kishule.

7. TuneIn Radio

41-tunein-radio-320-100.jpg

Ni application inayokuwezesha kusikiliza radio mtandaoni zinazopatikana kwenye mfumo wa digitali, kupitia TuneIn unaweza kupata radio zaidi ya 50,000 duniani kote.

Huu ni mtazamo wangu wadau
 
umetumia vigezo gani kuzichagua kuwa bora zaidi?
 
Whatsapp sawa lakini kwa sababu hizi nyingine huwa situmii nimezitoa kwenye list
 
Hiyo duolingo inafundishaje? maana kuna maneno ya kiingereza ambayo huwezi kuyatamka kwa mara ya kwanza bila kusikia kwa mtu.
mfano executive kwa mswahili kulitamka bila kulisikia kwa anayeweza kulitamka kiufasaha hata kama anajua lina maana gani.
 
apps bora kwa mwaka huu ni
1:top eleven...hii ni online game.ni game ya ukocha
 
1. WhatsApp Messenger

415005-whatsapp-revised.jpg

Ni Application inayotumiwa zaidi kwa sasa na watu kutumiana meseji, picha na video.

Huu ni mtazamo wangu wadau

Kwa kigezo cha kutumiwa zaidi, unaeza kuwa sahihi..

attachment.php
 
Attachments

  • 120536.jpg
    120536.jpg
    94.4 KB · Views: 587

Similar Discussions

Back
Top Bottom