Application za Remote control zinafanya kazi?

mr.chengachenga

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
155
Reaction score
107
Habari wana JF.

Naomba msaada kwa yeyote alieweza kutumia remote za kudownload kutoka playstore ya google. Kama ulishawai kuitumia na ikafamya kazi naomba unieleweshe kidogo kwani nilidownload za aina nying tu lakini hazikufanya kazi.

Ninatumia TECNO P5. Asante kwa kusoma ujumbe wangu na kama una ushauri wowote ninakukaribisha kwa moyo mkunjufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…