Yaani wiki nzima tatizo lilikukumba. Umechukua hatua gani kufuatilia na umefika wapi?Tangu jtano ya wiki ulopita Yan siwez tengeneza account Mara naambiwa nisha register wakat mm sikutengeneza account na Wala password sikujaza na sikuletewa password ya kuweka sielew nafanyaje kutengeneza account
Duh anUlipokwama ndio na mimi nimekwama hapo hapo
Isije kuwa kuna mtu keshatumia number yako hukoooo!!!!Mim NIKIWEKA namba angu ya kidato Cha nne inagoma kabisa ila NIKIWEKA za watu wengine inakubali katika ufunguaji wa account hatua ya mwanzo kbsa
Relax mkuu..Hiyo system wameishindwa kabisa, ata baada ya kulipa control number kuja kusoma paid ni shida, ikisoma paid ukitaka ku create account unaambiwa tayari una account, mbaya zaidi baada ya muda ile receipt inapotea kabisa system inakutaka ugenarate control number mpya.
Yaani hao IT wa HESLB ni wakuchapa viboko walikuwa wapi mwaka mzima hadi dirisha linafunguliwa ndiyo wanaanza kurepair system na kujaribu vitu hawajai kufanyia mazoezi.
Kinachoenda kutokea mwaka huu wengi watashindwa kusubmit application siyo kwa system hii, wakiendelea hivi kujaza taarifa moja inachukua week2, niwanafunzi wangapi watamaliza?.
Shame on you loans board na wizara yenu.
Guess you don't know the value of complaints.Relax mkuu..
Unazua taharuki bure watu wako kazini kurekebisha tatizo, lawama zako hazisaidii kitu.
Nimekuelewa mkuu.Guess you don't know the value of complaints.
Kuna watu uko stationary wanategemea mkate wao kwenye kufanya applications za vyuo na mikopo, kwa uzoefu nilionao system ya mwaka huu nimekuwa ya hovyo. Hakuna cha ficha tukiwa na vijana waoga kama wewe tutafika kweli. Watu wanafanya kazi walikuwa wapi mwaka mzima?. Kumbuka hao ni watumishi wa umma wanalipwa kwa kodi za wananchi na mapato mengine yanayo tokana na makusanyo ikiwa ni pamoja na application fees. Kama wanashindwa kufanya wajibu wao kwa ufasaha ndani ya muda tukae kimya?.
Najaribu kuvaa viatu vya watu wanaotoka vijijini kwenda mjini kufanya application, budget inakata wanarudi bila kufanikiwa, sababu ikiwa ni uzembe tu wa watu wachache, alafu unasema tunyamaze? danmfool idiot.
Hio tarehe 7 walitangaza kua watarekebisha auUsithubutu kufanya application za mkopo kwa kipindi hiki ambacho mtandao au systems za BODI YA MIKOPO haijakaa vizuri.
Hepuka ilo maana system ni mpya unaweza tuma docs zako na zikaja temwa badae ukashindwa endelea mpka uende makao
MUHIM; Wengi tunategemea kuomba mkopo ila tuwe na subra mpka tarehe 7 mwezi huu mfumo utakuwa complete usijaribu kutuma docs zako pale system kama imekataa usilazimishe.
Utaratibu wa kutuma hard copy kwa EMS ulikoma mwaka jana, mwaka huu kila kitu kinaishia mtandaoni, mfumo umeboreshwa na uko vizuriHivi maombi ya mwaka huu kila kitu unamalzia mtandaoni au kuna hadi kutuma posta?
Kipengele cha reverse application kwa sasa kinafanya kazi na unaweza ku edit taarifa zakoHicho kipengele pia hakifanyi kazi.
Nadhani watatoa update muda bado upo.
๐๐๐๐๐Isije kuwa kuna mtu keshatumia number yako hukoooo!!!!
Umesema mfumo umeboreshwa na uko vizuri au boss wewe unatumia mfumo tofauti na wanaitumia waombaji wengine๐ณUtaratibu wa kutuma hard copy kwa EMS ulikoma mwaka jana, mwaka huu kila kitu kinaishia mtandaoni, mfumo umeboreshwa na uko vizuri
Anaongea kamaUmesema mfumo umeboreshwa na uko vizuri au boss wewe unatumia mfumo tofauti na wanaitumia waombaji wengine
Joined Today..............
Kujifanya naye yumo kumbe majanga matupu, kimfumo kizima matatizo matupuAnaongea kamayuko nchi tofauti
Kwa upande wa picha hakifanyi acheni porojo na nyieKipengele cha reverse application kwa sasa kinafanya kazi na unaweza ku edit taarifa zako
Kujifanya naye yumo kumbe majanga matupu, kimfumo kizima matatizo matupu
Kwa upande wa picha hakifanyi acheni porojo na nyie