hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 331
Kwanini unauliza?Upon JKT au mtaani?
Aliyejeshini kuna utaratibu wa kusaidiwa na wanajeshi huko makambiniKwanini unauliza?
Mimi niko kitaa tuAliyejeshini kuna utaratibu wa kusaidiwa na wanajeshi huko makambini
Siku hizi ni mainly mtandaoUmebadilikaje
Mi sielewi maana process ya application sijafika mwisho hata [emoji174] inasumbua mnoHivi maombi ya mwaka huu kila kitu unamalzia mtandaoni au kuna hadi kutuma posta?
Inasumbua kivipiMi sielewi maana process ya application sijafika mwisho hata [emoji174] inasumbua mno
Process ya kuapply onlineInasumbua kivipi
Process ina shida gani?Process ya kuapply online
Picha zinaweka fresh ,ukienda preview hazionekani , mm nina wiki sasa najaribu na nimeshindwa kufanikiwa ukiwapigia hawapokei,Process ina shida gani?
Shida ni hiyo hiyo.Picha zinaweka fresh ,ukienda preview hazionekani , mm nina wiki sasa najaribu na nimeshindwa kufanikiwa ukiwapigia hawapokei,
Guarantor page na Demographic page zinaload bila kusubmit... MsaadaJamani habari zenu kama tunavyojua mtu akitaka kuapply mkopo wa elimu mwaka huu mfumo umebadilika.
Kama kuna mtu amefanikiwa kutuma maombi ya mkopo au mwenye changamoto naomba tujadili jinsi ya kuzitatua
Wote changamoto hiiGuarantor page na Demographic page zinaload bila kusubmit... Msaada
Basi mfumo ukikaa sawa tupeane updatesWote changamoto hii
SawaaBasi mfumo ukikaa sawa tupeane updates
Mim mwenyewe inagoma mwanzo tu nikiandika taarifa za kidato Cha nne inasem an errorJamani habari zenu kama tunavyojua mtu akitaka kuapply mkopo wa elimu mwaka huu mfumo umebadilika.
Kama kuna mtu amefanikiwa kutuma maombi ya mkopo au mwenye changamoto naomba tujadili jinsi ya kuzitatua
Mim NIKIWEKA namba angu ya kidato Cha nne inagoma kabisa ila NIKIWEKA za watu wengine inakubali katika ufunguaji wa account hatua ya mwanzo kbsaInasumbua kivipi