Habarini za Mchana ndugu wapendwa.
Ni application zipi za android zinafaa kwa text application kwa kutuma kama meseji za kawaida na launcher ipi kwa smartphone yafaaa
unatumia simu gani kwanzaalaf kuna hangouts pia inafanya messege za kawaida laucher ziko nyig sana ssa inateemea kama unataka mambo meng on screen au minimum