Simu yako aina ganiHabarini za Mchana ndugu wapendwa.
Ni application zipi za android zinafaa kwa text application kwa kutuma kama meseji za kawaida na launcher ipi kwa smartphone yafaaa![]()
![]()
.
[HASHTAG]#Mmmmmmmmh[/HASHTAG]
Kwa sms tumia Google messenger ni nzuri sana kwa sababu haina matangazoHabarini za mchana ndugu wapendwa,
Ni application zipi za android zinafaa kwa text application kwa kutuma kama meseji za kawaida na launcher ipi kwa smartphone yafaa![]()
![]()
.
Hii kama hawezi kuitumia anaweza iona mbaya lakini ni booonge la launcherTFS Launcher
Hii kama hawezi kuitumia anaweza iona mbaya lakini ni booonge la launcher
Shukran sana kkGo sms
Naombeni link yakeNi kweli mkuu ni launcher nzuri sana kwa kweli.
Nimeifurahia.
unatumia simu gani kwanzaalaf kuna hangouts pia inafanya messege za kawaida laucher ziko nyig sana ssa inateemea kama unataka mambo meng on screen au minimumHabarini za mchana ndugu wapendwa,
Ni application zipi za android zinafaa kwa text application kwa kutuma kama meseji za kawaida na launcher ipi kwa smartphone yafaa![]()
![]()
.