George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 654
- 1,302
Nkfanya ivi itakaa sawaPole sana mkuu hapo hauna chaguo lingine zaidi ya ku factory reset simu yako.
Nenda setting kisha Reset simu yako upyaa. Ujue kila kitu kitafutika na utaanza upyaa kurudisha application zako za kuhimu.
Nkfanya ivi itakaa sawa
Kama ni mpaka utumie wifi Angalia setting za internet.Nahitaji msaada whatsupp app yangu ilianza kunisumbua kam one week ago ilikua haifanyi kazi yani haileti sms wala haitumi kwa data mode hadi utumie wi_fi ndo inakubali nikaamua nifute nikadownload app nyingine mpya lakini hii mpya inakataa kujiunga kabsa inaload tu mda wote sielewi simu itakuwa na tatzo ganiView attachment 1751545