Couple Tracker-google playwasalaam waungwana...
mi nipo na mpenzi wangu yapata mwaka na nusu sasa...hatujabahatika kupata mtoto kwan bado tunajipanga kimaisha...
.huyu dada tumekuwa tukiiishi pamoja....ila katika safari ya mapenzi kuchunguzana kitu cha kawaida......huyu mwenzangu yeye ndo amekuwa ananituhumu hapa na pale na ikitokea hivo ninamuelezea kwa kina juu ya hicho anachokishutumu na mwisho wa siku ananielewa tunasonga mbele....
ila yeye anadai hawezi kufanya upuuzi wa mchepuko kwan haoni thaman yake na anamuogopa mungu....
sasa miezi 6 iliopita alipata ajira mkoani ikabidi aende kuanza kazi nami nikabaki hapa mkoa niliopo kuendelea na kazi yangu.....
huko aliko huwa naenda kumtembelea nae mara huja kwangu kunitembelea, hupika tukala na kunywa...
KISA CHENYEWE SASA.
mwezi wa tano akaniomba nimnunulie smart phone......nikaenda duka la tigo nikamchukulia ile smart ambayo ipo chini ya promotion yao i think meaifahamu......
nikaichukua nikampelekea huko aliko.....
wakati nimefika pale kwake nikagonga geti akaja akanifungulia akafurah kuniona na akafurah kwa zawadi ya simu.....
nikakaribishwa sebuleni' nikapewa juice kunywa....nikawashiwa tv nikawa nachek pale.....
wakati naangalia tv wazo likaja nichezee chezee ile simu.....
ndo wazo likanijia kwamba huyu mtu ananituhumu daily na kwamba yeye ni msafi pasipo kifani....basi wazo likanijia niweke ka programe mle kawe kananipa ukweli....
nikaenda playstore nikasearch kaprograme kakucopy habari za matumizi ya ile simu kanitumie.....
dah bahati mbaya ile playstote haina sana hivi viprogramu vya kuspy...
basi nikapata kamoja hivi kananitumia kwenye email yangu nani kampigia...muda aliopigiwa...meseji iliongia basi....
hakaonyeshi nani kapigiwa na sms ilotoka kwenye simu...
sasa bwana nikakaweka na bahat nzuri hakaweki icon kwenye screen....
nikampa simu yake nikakaa siku tatu nikarudi zangu dar gheto kwangu...
kale kapogram kakaanza kunitumia taarifa kwenye email yangu kila baada ya dakika tano kwa masaa 24....
nikaanza kuona calls za jiran yetu hapa ana mke na watoto ndo zinaenda sana kwa wife....yan asubuh mara 5....mchana mara 8 au zaidi jioni mara 6 au zaidi ila usiku hamna calls....
hii ina maanisha jamaa usiku anakuwa na mkewe kwa hiyo hamtafuti wife wangu ila kukicha tu zinaanza na wife akichelewa kufungua simu lazma jamaa atume txt ya kulaumu ....
nikawa nafurah kujua nn kinaendelea ila jamaa anapiga sana kuliko sms japo najua txt zingeanza tu as time goes...
nikimpigia wife simu tunaongea kawaida tu na haniambii chochote kuhusu ubusy wa mawasiliano yale...
unfortunately kale kaprogramu kamesizi hakatumi tena taarifa.....nikajarb kukainstall kwangu kama majaribio kakatuma siku 7 tu pia kakaseaze...
sasa hapa nilipo naumwa coz cjui wat z going on na ushahidi wa kuja kumpa live huyu ananituhumu mm umejatikia njiani......naumwa ile mbaya...hadi juzi nikawekewa drip la maji....cha msingi nilitaka nipate evidence za kutosha b4 anything..
je watalaam ni kaprogram kapi kazuri kanakoweza kukusanyia ushahidi angalau mwezi hadi nusu miezi 4 bila kuchoka maana haka kamenikatikia kwenye chorus......
ni hayo tu jaman hivi viprogram vinasaidia kujua mienendo kwa vitendo ya wapenz au watoto zetu...
.......NAOMBENI TIBA....
wasalaam waungwana...

Tupe kwanza hako ka mwanzo kanaitwaje na sisi tuka install mkuu?

dah kumekucha hivihivii!!
duh jf ninoma.