zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 469
- 639
habari wadau, naomba anayejua Application ya radio nayo weza ipakua kwenye simu yangu ya Smart phone (Xiaomi) na kuweza kuitumia bila kuwasha data, maana nimeona nyingi zinataka uwashe data kwanza ndo uwashe radio.
Asante
Asante