Fuata maelekezo kisha hapo kwenye application click hapo juu apply program then chini utaona maandishi ya blu click utaona namba za bank na namba yako ambayo ujaandika katika bank slip
Fuata maelekezo utaona bank details na pia application number ambayo tuwaandikie katika bank slip ukienda Benk kisha baada ya kulipa attach bank slip na baadae utapata kozi unapotaka kuchagua