Mood Messager inamaliza kila kitu, ina backup kwenye Google Drive kabisa ko hata ukibadili vifaa mara nyingi zaidi sms, settings za app yako ziko mahali salama...Wakuu salaam! Nisaidien app nzuri ya sms ambayo ninaweza ku backup sms kwenye drive. Natanguliza shukran zangu
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ngoja niijaribuView attachment 2021718Mood SMS - Messages App - Apps on Google Play
SMS & MMS app for Android with emojis, themes & messages after callsplay.google.com
Pulse sms Iko bomba piaWakuu salaam!
Nisaidien App nzuri ya sms ambayo ninaweza ku backup sms kwenye drive. Natanguliza shukrani zangu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Pulse Iko bomba sana Ina hadi cloud storage ukilipia. Haina matangazo pia.Tafuta Pulse sms utanishukuru, hii ina sehemu ya kuficha baadhi ya sms ambazo hutaki zionekane na watu wengine
Kwahiyo unapokuwa una chat na mtu unabonyeza hiyo pulse badala ya ile inayokuja na simu au?Tafuta Pulse sms utanishukuru, hii ina sehemu ya kuficha baadhi ya sms ambazo hutaki zionekane na watu wengine