Webb JF-Expert Member Joined Oct 4, 2016 Posts 425 Reaction score 884 Dec 8, 2018 #1 Wakuu naomba kujuzwa ni application gani nzuri ya kublock calls and texts. Nataka nisione kabisa calls wala texts.
Wakuu naomba kujuzwa ni application gani nzuri ya kublock calls and texts. Nataka nisione kabisa calls wala texts.
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Dec 8, 2018 #2 Webb said: Wakuu naomba kujuzwa ni application gani nzuri ya kublock calls and texts. Nataka nisione kabisa calls wala texts. Click to expand... Kama ni Android, sahau kabisa.. Acha kutafuta.. I mean achana na hyo ktu haipo
Webb said: Wakuu naomba kujuzwa ni application gani nzuri ya kublock calls and texts. Nataka nisione kabisa calls wala texts. Click to expand... Kama ni Android, sahau kabisa.. Acha kutafuta.. I mean achana na hyo ktu haipo
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,184 Dec 8, 2018 #3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *35*0000# kufunga hapa ww utakuwa unapiga tu ila hautapokea call wala SMS Kufungua ili upate call utafanya ivi #35*0000#kufungua. "jaribu then toa feedback ""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *35*0000# kufunga hapa ww utakuwa unapiga tu ila hautapokea call wala SMS Kufungua ili upate call utafanya ivi #35*0000#kufungua. "jaribu then toa feedback ""
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,548 Reaction score 2,699 Dec 8, 2018 #4 Hakunaga zote naona miyayusho tu
bashite kaya Senior Member Joined Jan 15, 2018 Posts 128 Reaction score 50 Dec 12, 2018 #6 Na kujua mtu kama anasikiliza maongezi yenu bila ww kujua unafanyaje pia na text zako akiwa anazisoma bila ww taarifa msaada apo
Na kujua mtu kama anasikiliza maongezi yenu bila ww kujua unafanyaje pia na text zako akiwa anazisoma bila ww taarifa msaada apo