Application muhimu kwa smartphone yako

Asante sana mtoa uzi, naomba namna ya kuipata io free audio player
 
To 10 yangu ya application muhimu kwenye smartphone.

1.Pocket
2.Telegram
3.Quora.
4.UB reader.
5.Youtube
6.Google goggles
7.Google photos
8.Evernotes
9.Jamiiforums.
10.Wordweb
Zote zinapatikana Play store
 

Msaada tafadhari tudadavulie kwa hili Chief-Mkwawa
 
.
Ndo ipi hapa
 
Iyo ni kiboko! Hata mtu aki update password nayo ina update pia, ina show passwords alizo change, ila mapungufu yake ni kua unahitaji kua connected to the internet ili iweze kufanya kazi, then uta copy passwords zako na utafanya yako.... Ila kwa usalama zaidi wa mambo yako utakayokua unafanya online pindi utakapo kua umefanikiwa ku connect na moja ya secure WiFi, basi huna budi kutumia VPN ili ku hide IP address yako na original location....
 
Hebu njoo malizia hiyo ya kuweka chaji
 
Hapa sijaelewa mpaka mtu awe karibu yako na awe nayeye ana hii apps au akiwasha tu hotspot unamdaka maana kuna wifi naziona kama zina last seen kitu ambacho sjaelewa hapa bado
 
Hiyo app ya HAKIKI naona ni idea nzuri lakini nimeijaribu naona inashindwa kutoa ripoti sawasawa naona imeambulia kunipa salio la airtelmoney tu. Labda sijui kwa wanaotumia mitandao mingine!
 
Hiyo app ya HAKIKI naona ni idea nzuri lakini nimeijaribu naona inashindwa kutoa ripoti sawasawa naona imeambulia kunipa salio la airtelmoney tu. Labda sijui kwa wanaotumia mitandao mingine!
unatakiwa usifute sms za miamala kabla hujatengeneza ripoti
 
Ngoja niijalibu
 
mkuu ukisach wifi map zinakuja nyingi unashindwa elewa ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…