Application muhimu kwa smartphone yako

jamani hiyo video oder nshajaribu kuidown load lkn siwez kudowload video yoyote sasa ebu nielekezeni inavo tumika

[emoji115] mkuu utakapofungua video huwa inaleta option hizo unaweza download audio au video kwa size uipendayo.
 
jamani hiyo video oder nshajaribu kuidown load lkn siwez kudowload video yoyote sasa ebu nielekezeni inavo tumika


[emoji115] ni jinsi ya kudownload video na picha za kawaida Instagram. Bofya kwenye hizo dot upande wa kulia ktk post... Kisha itatokea hivi [emoji116]



Ukisha bofya download itakuletea links kama hivi [emoji116]



Kazi ni kwako na mbs.
 
Hii App inahitaji simu iwe rooted au hata bila root?!
 
Mkuu hii hakiki ni bure? Wasije wakawa wanachota pesa kwenye account kila unapohakiki
 
Naikubali Sana hii app
 
Naikubali Sana hii app
 
Naikubali Sana hii app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ