Application ipi naweza kutumia kuedit background ya picha kuwa nyeupe?

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
130
Wakuu naomba kuuliza ni application ipi naweza kutumia kuedit background ya pic kua nyeupe.

Pia application ambayo naweza edit pic ikawa na quality kama ya pic za ebay au Alibaba

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom