Application gani nitumie kuedit picha ili iwe kama hii?

Application gani nitumie kuedit picha ili iwe kama hii?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,711
Reaction score
1,663
Kwa kweli napenda sana editing na picha kali ila maufundi sina.

Nani anisaidie Application kali za kuedit picha.

Lakini nahitaji Free Application za iPhone

Screenshot_20210605-170430.png

Screenshot_20210605-170446.png
 
Back
Top Bottom