Ulidhibitisha kuwa utaenda chuo au kama ulifanya hvyo utaiona hapo hapo kwenye ukurasa wa kuthibitishaJamani hivii application form kwa wale tuliochaguliwa Na serikalii 4m4 kwenda vyuo tunapatajee?
NilithibitishaUlidhibitisha kuwa utaenda chuo au kama ulifanya hvyo utaiona hapo hapo kwenye ukurasa wa kuthibitisha
Basi ingia kwenye profile ulipothibitisha utaona maelekezo jinsi ya kubadilisha gharama sh 5000Nilithibitisha
Taari kila kitu lkn application form Ndoo sioniBasi ingia kwenye profile ulipothibitisha utaona maelekezo jinsi ya kubadilisha gharama sh 5000
Nitumie namba zako nikuulize unakwama wapiTaari kila kitu lkn application form Ndoo sioni