Application form za kujiunga kidato cha 5 zinapatikanaje?

Application form za kujiunga kidato cha 5 zinapatikanaje?

enoel

Member
Joined
Jun 14, 2019
Posts
26
Reaction score
1
Jamani hivii application form kwa wale tuliochaguliwa Na serikalii 4m4 kwenda vyuo tunapatajee?
 
Jamani hivii application form kwa wale tuliochaguliwa Na serikalii 4m4 kwenda vyuo tunapatajee?
Ulidhibitisha kuwa utaenda chuo au kama ulifanya hvyo utaiona hapo hapo kwenye ukurasa wa kuthibitisha
 
second selection mwaka huu haipo nini?
 
Back
Top Bottom