mwanamke ambaye ni rafiki tu wa kawaida mnapiga stori pamoja za hapa na pale, siku akakuletea tunda liitwalo apple akakupatia kwa niaba ya zawadi
Ni nini anacho maanisha
Tunda aina ya apple limebeba maana gani
[emoji2][emoji2] hapan mkuu co nakuza vtu ili tunda ni adim kdgo uswailin sas had mtu anafkia hatua ya kufklia kukuletea kitu kam iki dzain kam alithink more than once!