Apple yawa kampuni kubwa kuliko zote duniani yenye thamani ya $ Trillioni 2

Unamaanisha mauzo ama utajiri? Kama ni utajiri umeingia chaka sana,

Hata hao kina Apple na Samsung hawapo hata top 10 kwenye kampuni zinazoingiza hela nyingi, kifupi hakuna kampuni ya simu hata moja.

Kampuni kumi zinazoingiza hela nyingi yupo Walmart na Kampuni nyengine 9 za kutengeza magari ama kuuza mafuta.

Juzijuzi niliona Elon Musk anataka Amazon ivunjwe...
Amazon ikoje now Kwa value?
 
Kwa value ya Kampuni ni zaidi ya Trilioni 1 za kimarekani. Hawajawafikia Apple ila hawapo Mbali.

Kitu cha kuogofya kwa Amazon ni ukuaji wake, kwa miaka kama 5 sasa inakuwa kimapato zaidi ya asilimia 30 kila mwaka, kwa kampuni kubwa kama hii ndani ya miaka 3 kujidouble kimapato ni jambo ambalo si la kawaida.

Sema hilo la kugawanywa ingeanza Walmart kwanza kabla ya Amazon, maana walmart inaingiza mpunga mwingi kuliko Amazon.
 
nimeshangaa hata jeff ana utajiri wa dollar $ 200 bln,wakati anayenfuatia ana $ 104,hii ni kusema kampuni inapiga hela sio kawaida.
 
Back
Top Bottom