Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hivi chief kati ya notes 10/S10 na iphone 8+ ipi simu kariApple ni kama Huawei, wanategemea zaidi mauzo ya kwao, nchi ambazo iphone zinauzwa sana ni zile ambazo inakuwa subsidized na mitandao ya simu, mfano Marekani, South korea, Japan, Uingereza, Australia etc unakuta iphone inauzwa dola 200 lakini unakuwa locked kwenye mtandao husika kwa muda fulani
toka huko nenda nchi wanazonunua simu kama sisi mauzo ya Iphone ni madogo sana.
Inategemea na wewe mwenyewe unapenda android ama iosHivi chief kati ya notes 10/S10 na iphone 8+ ipi simu kari
Inategemea na wewe mwenyewe unapenda android ama ios
NamuuIphone 8
Kuna wale wabishi asilia (waha wa Jf) lazima wabishe subiri kidogo tu ujionee
Hivi chief kati ya notes 10/S10 na iphone 8+ ipi simu kari
Sio rahisi kupata Note 10/s10 kwa hio bei labda zile refurbished. Ila s10 lite anaweza kupata.Inshort kuna jamaa anataka kwenda nunua simu yy kama yy anataka simu nzur sasa bajet yake ni 1.2M sasa akaniomba ushaur kati ya iphone 8+ na notes 10/S10 ipi simu nzur mimi kama mm nimwambia sijui ila nitaenda mtafutia jibu yeye anataka camera na ujanja mengne yaan sasa ndio nimekuja kwako kukuliza kat ya hzo simu ipi mashine
Binafsi naendelea kupambana na umaskini kama wanavyoziita humu simu za wanyonge vyovyote vile poa tu. chief kati ya Tecno phantom 6 vs Tecno phantom 6 plus(+) ipi niinyake zipo izo mbili na chaguo ni moja nipe ulijualo kwaizo chaguo Mkwawa NB ni mtaani zipo sio dukani.Apple ni kama Huawei, wanategemea zaidi mauzo ya kwao, nchi ambazo iphone zinauzwa sana ni zile ambazo inakuwa subsidized na mitandao ya simu, mfano Marekani, South korea, Japan, Uingereza, Australia etc unakuta iphone inauzwa dola 200 lakini unakuwa locked kwenye mtandao husika kwa muda fulani
toka huko nenda nchi wanazonunua simu kama sisi mauzo ya Iphone ni madogo sana.
mkuu hizi ni simu za kizamani sana inategemea na bei unayopata, baina ya hizo 2 phantom 6 plus ni nzuri zaidiBinafsi naendelea kupambana na umaskini kama wanavyoziita humu simu za wanyonge vyovyote vile poa tu. chief kati ya Tecno phantom 6 vs Tecno phantom 6 plus(+) ipi niinyake zipo izo mbili na chaguo ni moja nipe ulijualo kwaizo chaguo Mkwawa NB ni mtaani zipo sio dukani.
OK nashukuru sio tabu hizi nimeona wali zilunch 2016 hapa nilipo natumia tecno j5 lunch 2015 kwangu nimepga stage from 1 gb ram to 4gb ram from 16 ROM to 64 ROM. Nashukuru chief ubarikiwe.mkuu hizi ni simu za kizamani sana inategemea na bei unayopata, baina ya hizo 2 phantom 6 plus ni nzuri zaidi