Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 19,641
- 14,248
Ameshindwa kuhitimisha kwa kusema ukweli kuwa FBI waliweza kuifungua ile simu bila msaada wa Apple ndio maana wakaachana na kesi.Katika yote uliyosema mwisho tumekuja kuona serikali imeshinda na wamepata walichotaka nje ya mahakama na kwa njia wanazojua wenyewe na sijawai kusikia mtu au taasisi yeyote dunian ikashindana na serikali na ikashinda cha msing ni kuwa makini na kile ukisemacho na kukiandikacho
Kwa maslahi mapana ya JamiiForums.com na kesi iliyopo mbele yetu naomba ufute na kuondoa neno liliachwa kwenye mabano. Pia dhamiria kutotumia lugha ya namna hiyo tena. Naomba...Wewe ni (...) kabisa, kesi iko mahakamani.
Na wakati mwingne Camera zinaitajika kufungwa pia kwa ajili ya usalama wa huyo mtu .kutoa mawasiliano ya mtu ni sawa na kumfungia mtu kamera bafuni bila mwenyewe kujua.....
Kama vile simsomiWewe toka sakata la Melo post zako ni kama unafurahia hivi.
Kama vile simsomi
Huyo kakurupuka labda ndio anaamka toka usingizini ...umeelewa lakini au umekurupuka tu kuandika...1/4
wewe sidhani kama una akili nzuri,hayo makampuni ya simu sheria inawataka kutoa taarifa za wateja wao endapo serikali itakua inazihitaji kwa sababu za kiusalama,same concept applies kwa madaktari,madaktari nao inapobidi kutoa taarifa kuwahusu wagonjwa wao kwa serikali wanatoa kwan hujawah kusikia madaktari wanatoa ushahidi mahakamani?Sidhani kama @Maxecence Melo au Jamii Media wamegoma kutoa ushirikiano. Ushirikiano daima una mipaka na hasa kwenye Taasisi. Ushirikiano unapokwenda mbali zaidi na kutakiwa ushiriki kwenda kinyume na Sheria, Kanuni na Miongozo ambayo mmejiwekea kuendesha shughuli zenu kulingana na Sheria Mama ya Nchi (Katiba), utakuwa tayari kutoa ushirikiano? Suala la consumer protection lipo katika kila huduma. Daktari hawezi kutoa faragha zako eti kisa ushirikiano! the same for ISPs, Telecomms etc. Pia kuna extreme moja tunapaswa kuiangalia. Je, taarifa zilizotolewa na hao ambao faragha zao zinatakiwa zilizkuwa zinahatarisha usalama wa nchi? Katika mashtaka yote matatu aliyosomewa Maxence hilo halimo!.
Nisaidie kujua, Serikali ilifanikiwa/shinda kwa Apple kutekeleza ilichotaka au ilitafuta njia mbadala? Hilo tu!
Hii ya kuweka ndani na kunyimwa dhamana ni tanzania pekee. Nchi inayoongozwa na mteuleTim Cook au kuna yeyote kutoka Apple aliyewekwa ndani na kunyimwa dhamana!?
wewe sidhani kama una akili nzuri,hayo makampuni ya simu sheria inawataka kutoa taarifa za wateja wao endapo serikali itakua inazihitaji kwa sababu za kiusalama,same concept applies kwa madaktari,madaktari nao inapobidi kutoa taarifa kuwahusu wagonjwa wao kwa serikali wanatoa kwan hujawah kusikia madaktari wanatoa ushahidi mahakamani?
Mkuu hatuwezi wote kulia au kulalamika tu tunaitaji solution si emotion kwani siku zote solution ndio kitu kwenye kubeba masilai ya wengi si emotion na pia sku zote watu wenye akili uambiana ukweli juu ya hatari iliyombele yao si kuleta hisia au kufalijiana leo emotion azitatatua Tatizo la kiongozi Max bali solution ndo itatatua tatizo la Max na wengine wote watakao fata baada ya yeye na solution ni kupiga kelele na kupaza sauti juu ya sheria mbovu ya makosa ya mtandao na sheria ya habari kwani hz ndo chanzo cha matatizo na kuakikisha JF Rules zinafwatwa si mtu kuleta taarifa za uongo na uchochezi kumbuka hakuna Taifa au serikali yeyote duniani inaweza kucheza na usalama na utulivu wa nchi kumbuka information is power. Giving people the knowledge to understand na JF ndo imebaki ni soure pekee yenye kuaminiwa na watu wa kada na rika mbalimbaliKama vile simsomi
Kumnyima mtu dhamana ipo kisheria chini ya sheria ya mwenendo wa makosa ya jinaiHii ya kuweka ndani na kunyimwa dhamana ni tanzania pekee. Nchi inayoongozwa na mteule
Walifanikiwa kwa kutumia third party sio apple. Km police wanahitaji hizo taarifa na wao watumie third party km fbi.Katika yote uliyosema mwisho tumekuja kuona serikali imeshinda na wamepata walichotaka nje ya mahakama na kwa njia wanazojua wenyewe na sijawai kusikia mtu au taasisi yeyote dunian ikashindana na serikali na ikashinda cha msing ni kuwa makini na kile unachokisema ,kusikia au kukiandika
Zipo sababu za wao kutumia third party na kumbuka kesi ilikuwa mahakamani na kesi zile zinazohusu maswala ya kikatiba uchukua muda mrefu na pia hata kama inatokea umeshindwa kuna option ya kukata rufaa na pia unatakiwa kujua swala la National security au Threat yeyote kwa Taifa siku zote hatua uchukuliwa mapema kama ni kulinda,kuzuia au kushambulia sisi sidhani kama kuna haja ya kufikia huko cha muhimu ni kuja na solution bora ya JF,members na stuff wa jf tuwe safe na tuendelee kutoa maoni na mitazamo yetu bila ya kuvunja sheria au kuleta sintofahamu yeyote kwa tutoa taarifa za uongo au uchocheziWalifanikiwa kwa kutumia third party sio apple. Km police wanahitaji hizo taarifa na wao watumie third party km fbi.
na hapo tungejua kuwa kumbe tuna majembe ya ITwalipaswa wawe na wataalamu wa kuweza kupenya na sio kusumbua mmiliki
Kuna posts humu JF zimetishia úsalama wa nchi yangu pendwa Tanzania?Kwanza unatakiwa kujua kukataa kutoa ushirikiano kwa vombo vya dora ni kosa tena sio Tanzania tu bali ni dunia nzima pili Apple walikubali kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dora na Taasisi zake na pia Apple alishindwa kesi na kukata rufaa na maamuzi ya mahakama yalikuwa Apple ampatie ushirikiano FBI juu ya kufungua simu ya yule Gaidi sasa linapokuja swala la usalama au Tishio la kiusalama wa nchi ni lazima hatua zichukuliwe haraka so wakat kesi ikiendelea mahakamani tayali serikali ilikuwa imeshatafuta njia nyingne ya kupata kile inachotaka na baada ya kupata serikali yenyewe ikaondoa shitaka mahakamani so jambo ili linatufundisha nini??? tunaomba sana ucku na mchana serikali yetu isije chukua maamuzi kama waliochukua serikali ya US juu ya kupata kile wnachokitaka maana wengi wetu wa jukwaa la siasa tutaishia kwenye majengo ya serikali
huwezi kusema apple walishinda kesi wakati kesi haikufika mwisho.. kwanza mara ya kwanza walishinda FBI na federal judge aliwaamuru FBI kutoa technical assistance pale wanapohitajika.Hapana hapa ni kwamba apple alishinda kuwa jukumu LA kuingilia simu hiyo na kupata habari ni jukumu LA FBI ndio maana walitafuta mtu wa tatu na baada ya kujua kuwa hawatashinda wakaamua kuondoa kesi.
Kama wangekua na uhakika wa ushindi wangeendelea kutafuta hiyo haki kwani huo sio mwisho wa matukio