Apple Vision Pro Tv inayotembea


Vision pro siyo prototype mkuu , ni product ipo. Prototype ni modeli inakuwa bado kwenye computer au majaribio au inakuwa mfano , hii vision pro siyo prototype tena ni product halisi na watu wameitumia na ndo unaona hizo reviews, bado tu watu kuanza kuweka order na delivery. Kwa utaratibu wa apple kwenye complex gadget Kama hii delivery yake huwa wanaipa muda maana itategemea na order zitakazowekwa na itategemea production yake ni ngumu kiasi gani. Unakumbuka iPhone 10 Kwa mara ya kwanza inakuja na faceid ilichelewa tofauti na iPhone 8 ambayo zilitangazwa muda mmoja na haikuishia hapo upatikanaji wa X ulikuwa mgumu sababu ya production kuwa ngumu. Where is faceid now ? Jibu ni kwamba Imekuwa ndo standard ya smartphones na Hamna simu imekuwa close na faceid.

Na pia kipindi hiki wanapewa developers waweze kuongeza maajabu Yao ili mteja apate vitu kibao ndani (From now to Jan next year developers wana muda wa kutosha kutupia ubunifu wao humo)

Nimejuaje Kama wanaizika meta na AR wengine? Simple tu , vision pro ni substitute ya hizo za meta na kina Samsung lakini ubora wake umekuwa juu mno kiasi kwamba hizo za wengine zinaonekana Kama wanatania (walikuwa kwenye majaribio) na ndo maana umeona hata reviewer ambao ni critic wa apple wamekubali wengine wamesema hawajawahi na hawakutegemea kuona implementation ya kiwango hiki yan ni Kama ipo perfect .Disney ni wakubwa mno ukiona wamekubali kuingia kwenye project jua kuna kitu wamekiona. Hii ina forecast kifo cha wengine Jan si mbali sana Mungu atuweke tutarudi hapa.

Itโ€™s expensive yes but hii cost iki meet expectations basi itaonekana ndogo, and itโ€™s not for everyone Mil kumi ni kubwa Kwa watu wengi but if it lives up the expectation basi watu watanunua. Shida ni kuuza kitu bei kubwa alafu hakifanyi kazi inavyotakiwa

Apple wana plan kuingia kwenye sports yan unaangalia mechi Kama upo uwanjani vile kupitia vision pro. Kumbuka tayari wana streaming service ya movies kupitia Apple TV +. Kwa maana nzima ya ecosystem hapa mauzo ni guaranteed

Disney ndo atasimamia show nzima hiii , Kama hukuona presentation basi link hizi hapa chini


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ