Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
wabongo wanagundua nini?? Maana hata wabongo nao wanaumiza vichwa daily, au wao sio watu?Bado, kuna makubwa yatakuja teknolojia inakuwa daily, watu wanaumiza vichwa daily.
Sisi tunatumia akili kuongeza ukubwa wa mawowo, kuongeza uume uwe mkubwa na kutengeneza mkongo kwa ajili ya kunyanduana. Africaaaaaaawabongo wanagundua nini?? Maana hata wabongo nao wanaumiza vichwa daily, au wao sio watu?
Kwani sasaivi hatupangiwi mambo yetu?Utafika muda chip zikishaweka kwenye miili yetu baasi simu haitokuwa na umuhim tena
Shida itakuwa ni kupangiwa mambo yetu
Hii kitu nimeona nikasema balaa. Apple huwa anafanya vitu late ila anachukuaga tech za waliotangulia ana zimplement in a better way na kuzipa majina mazuri. Apple wanajua jinsi ya kuimplememt vitu.Tunaelekea kwenye ulimwengu wa Ma game Duniani ?
Apple wametambulisha teknolojia mpya ya AR headset baada ya miaka mingi kupita. Apple imetambulisha kifaa kipya cha kuvaa machoni kinaitwa Apple Vision Pro kinakusaidia kutizama ulimwengu halisi pamoja na kidigitali.
Ni kifaa ambacho kinatumia mfumo wa 3D interface unaweza ku control kwa kutumia macho , sauti pamoja na mkono. Utaweza kutumia kuingia sehemu mbalimbali kama vile kuperuzi mitandaoni, utakutana na apps Mbalimbali Ikiwa na mfumo wake unaitwa VisionOs.
Unaweza kugusa , kusogeza,pia kutumia sauti yako kuingia mahali popote utaweza kuona program Zako zote.mfumo wake unatoa Muonekano mzuri kwenye Eneo lolote lile ili uweze kutizama kwa ubora na ufanisi.
Ni miwani ambayo yenye Rangi nyeusi Ikiwa na
• 4k display kwenye kila sensor
• ina sensor 5 Ikiwa pamoja na 12 kamera
• Ikiwa na frame ya kioo cheusi
• inatumia battery yenye masaa mawili
• Ikiwa na mfumo wa kompyuta ndani yake pamoja feni yenye kupooza mfumo mzima ndani.
Unaweza tumia pia kwenye kompyuta ya Mac Pamoja na ipad Ikiwa na magic keyboard ambayo utaunganisha tu ndani ya Headset yako na kuanza kutumia bila kuishika kompyuta au simu yako.
Kwa chini kuna kamera yenye kutizama mikono yako na kukusaidia kuweza kufanya mambo mbalimbali unaweza tumia mkono kuweza kusogeza kitu pembeni , ku pause, kubadilisha kitu au sauti kutafuta unachotaka nk.
Gharama yake [emoji117] dollar $3499 sawa na Tsh 8,289,131.00m (milion Nane laki mbili na Elfu themanini na Tisa)
Itaanza Ramsi kupatikana kuanzia mwaka 2024 [emoji3578]
Teknolojia ni Yetu sote unaionaje hii teknolojia maana unaweza tembea nayo mahali popote na kutumia bila shida tuachie maoni yako?
View attachment 2649089View attachment 2649094View attachment 2649095View attachment 2649091View attachment 2649093View attachment 2649092
😅 😅 😅 😅 🤣 🤣Kwani sasaivi hatupangiwi mambo yetu?
Sidhani kama majina yanamatter sana.Hii kitu nimeona nikasema balaa. Apple huwa anafanya vitu kate ila anachukuaga tech za waliotangulia ana zimplement in a better way na kuzipa majina mazuri. Apple wanajua jinsi ya kuimplememt vitu.
Nimeona kuwa huawei alifile patent yenye jina hilo china toka sijui 2018 hivyo kwa mauzo ya china itabidi atumie jina lingine
Metaverse ishafail mkuu ni kama nao wameipiga chini kimya kimya wameamia kwenye AI jamaa alikuwa wrong kwa kudhani dunia inaelekea kwenye metaverse kumbe kwenye AI.Sidhani kama majina yanamatter sana.
ila zuckeberg ameelezea kuwa approach ya apple ni kwaajili ya matumizi ya day to day sio kama approach ya meta ambao wao walibase kwenye gaming na Virtual world.
Dunia bado itaenda kwenye metaverse kama ilivyo ready player 1...hatakama sio metaverse ya zuckeberg.Metaverse ishafail mkuu ni kama nao wameipiga chini kimya kimya wameamia kwenye AI jamaa alikuwa wrong kwa kudhani dunia inaelekea kwenye metaverse kumbe kwenye AI.
Amechoma pesa nyingi na project haendi. Kila anayeingia kule harudi baadhi ya towns hata haziwahi tembelewa.Dunia bado itaenda kwenye metaverse kama ilivyo ready player 1...hatakama sio metaverse ya zuckeberg.
Tunaweza kuwa navyo vyote, AI ndani ya metaverse.
Kwahyo Zuck hatakiwi kuipiga chini ila anatakiwa kuiboresha.
Tena kama ana akili,anatakiwa akae vizuri na apple ajadili nao njia ya kuiingiza metaverse kwenye vision pro.
Kinachomfelisha zuckeberg ni greediness na selfishness..Yeye alitaka awawahi kila mtu kwenye VR na AR kwa kuhodhi software yote (Metaverse) na Hardware yote (Oculus)
Watu ndomaana wakampiga chini...kama teknolojia ya intanet ilivyokuja na kila mtu aliweza kupost vitu kwenye internet ambayo haimilikiwi na mtu mmoja. Yeye sasa Zuckeberg alitaka Metaverse iwe kama internet ambayo kila kitu kitakuwa humo ndani.
Angepata unlimited power kucontrol jamii na watu hawataki.
Hivyo anatakiwa abadilishe approach. Aingize Metaverse kama social network kwenye vision pro na aachane na ndoto yake nyevu ya kuihodhi teknolojia yote yaa VR na AR.
You're right. Tunatafuta aliens wakati sisi wenyewe ni aliens.Amechoma pesa nyingi na project haendi. Kila anayeingia kule harudi baadhi ya towns hata haziwahi tembelewa.
Unajua unaweza kuwa na idea nzuri ukafail kwenye implementation.
Open AI si kwamba wao ndio walitangulia kudevelop LLM ila walipatia implementation yake. Hapa niko nafanya kazi moja inahusiana na Bard sikujua kama bard imeanza kuwa developed toka 2017 lakini naona Google anataka sasa ibadilosha iwe ina imteract na watu kwa chatgpt.
Hata mwanzo wa internet kuna ideas nyingi na makampuni mengi yalianza yakafail maana ilikuwa ni this new product what do we do about it kila anayejaribu anajaribu mengine yanakuwa hype baada ya muda yanakufa lakin hatimaye mengine yaka survive. Same hata idea ya metaverse huenda meta implementation yake imefail atakuja mtu atapatia ita take off
Utakula ugali utegemee kugundua kitu?wabongo wanagundua nini?? Maana hata wabongo nao wanaumiza vichwa daily, au wao sio watu?
Mimi nitasubiri kutoka Guangzhou najua zitakuwa dollar 100Tunaelekea kwenye ulimwengu wa Ma game Duniani ?
Apple wametambulisha teknolojia mpya ya AR headset baada ya miaka mingi kupita. Apple imetambulisha kifaa kipya cha kuvaa machoni kinaitwa Apple Vision Pro kinakusaidia kutizama ulimwengu halisi pamoja na kidigitali.
Ni kifaa ambacho kinatumia mfumo wa 3D interface unaweza ku control kwa kutumia macho , sauti pamoja na mkono. Utaweza kutumia kuingia sehemu mbalimbali kama vile kuperuzi mitandaoni, utakutana na apps Mbalimbali Ikiwa na mfumo wake unaitwa VisionOs.
Unaweza kugusa , kusogeza,pia kutumia sauti yako kuingia mahali popote utaweza kuona program Zako zote.mfumo wake unatoa Muonekano mzuri kwenye Eneo lolote lile ili uweze kutizama kwa ubora na ufanisi.
Ni miwani ambayo yenye Rangi nyeusi Ikiwa na
• 4k display kwenye kila sensor
• ina sensor 5 Ikiwa pamoja na 12 kamera
• Ikiwa na frame ya kioo cheusi
• inatumia battery yenye masaa mawili
• Ikiwa na mfumo wa kompyuta ndani yake pamoja feni yenye kupooza mfumo mzima ndani.
Unaweza tumia pia kwenye kompyuta ya Mac Pamoja na ipad Ikiwa na magic keyboard ambayo utaunganisha tu ndani ya Headset yako na kuanza kutumia bila kuishika kompyuta au simu yako.
Kwa chini kuna kamera yenye kutizama mikono yako na kukusaidia kuweza kufanya mambo mbalimbali unaweza tumia mkono kuweza kusogeza kitu pembeni , ku pause, kubadilisha kitu au sauti kutafuta unachotaka nk.
Gharama yake [emoji117] dollar $3499 sawa na Tsh 8,289,131.00m (milion Nane laki mbili na Elfu themanini na Tisa)
Itaanza Ramsi kupatikana kuanzia mwaka 2024 [emoji3578]
Teknolojia ni Yetu sote unaionaje hii teknolojia maana unaweza tembea nayo mahali popote na kutumia bila shida tuachie maoni yako?
View attachment 2649089View attachment 2649094View attachment 2649095View attachment 2649091View attachment 2649093View attachment 2649092
Umejuaje imezika ikiwa hata sokoni haijaingia?Kifupi apple/vision pro imeizika rasmi metervese na AR nyinginezo. Ndo soko lilivyo halina huruma.
Umejuaje imezika ikiwa hata sokoni haijaingia?
Meta wangedeal na software ya metaverse wakaachana na kutengeneza hizo hardware za oculus. Wangejiunga na apple kama ulivyosema.Vision pro ipo bado tu kuanza kuuzwa, ukiilinganisha na hawa metervese ni mbingu na Ardhi. Visio pro iko miles ahead plus ipo kwenye ecosystem ya apple , Disney wamei endorse na kuikubali 100% wataingiza products zao mle , ongeza na kwamba apple inaipeleka vision pro kwenye sports utaona kifo cha metervese moja kwa moja . Solution ni Meta kujiunga kwenye vision pro .
Pitia mtandaoni angalia meta linganisha na vision pro utaona tofauti ni kubwa mno, meta warudi kwenye board waanze upya which is too late