n2bra Senior Member Joined Sep 28, 2011 Posts 100 Reaction score 14 Aug 5, 2012 #21 Dah! Hii kesi tamu sana, mwizi kamshtaki mwizi mwenzake.
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Aug 5, 2012 #22 Hahaaaa ngoja nianze kuifatilia hii kesi manake mi ni mshabiki nzuri sana wa Samsung, nawakubali sana hawa na ndio simu zangu na nitajitahidi kila toleo niwe nalo..LOL
Hahaaaa ngoja nianze kuifatilia hii kesi manake mi ni mshabiki nzuri sana wa Samsung, nawakubali sana hawa na ndio simu zangu na nitajitahidi kila toleo niwe nalo..LOL
A Abdson Member Joined Jul 28, 2012 Posts 60 Reaction score 19 Aug 5, 2012 #23 Hata hivyo ni kawaida ya hawa watu wenye tumacho tudogo.