brakelyn niskilize kwa makini sana.
Wp8 si ios si anroid software zake hazihitaji processor na ram kubwa nokia ipo very very fast achana na specification za kuangalia kwa macho nenda youtube kaangalie namna 920 inavoonekana bora.
Watu wengi akili zetu tunadhani simu bora ni ile simu yenye specific bora mfano ya zamani ina ram 1gb basi mpya ije na 2gb tunasahau innovation zengine nyingi
920 ina vitu vingi unique umeona camera stabilization ni new feature hamna smartphone ambayo inayo na mpaka sasa gizmodo, theverge, phone arena washafanya comparison ya camera 920 its rock comparison imefanywa ya simu 3 lumia 920 vs galaxy s3 vs iphone 4s
Link nenda hapa
Definitive Proof That the Lumia 920's PureView Camera Is Awesome
Njoo kwenye screen yake ni puremotion hd+ ni technology mpya ipo nokia tu wote wamekazania AMOLED AMOLED kila mtu they are not creative. Screen hio imetawaliwa na SUPER TOUCH sensitive. Ona smartphone nyengine wote wanaigana touch sensitive nokia katoa yake hata uvae gloves inasense na coment ya kwanza kabisa katoa developer mmoja anasema
Umeona Ile wireless charge? Unaieka juu ya speaker inacharge ina maana wapenda mziki wakiskiliza music simu haziishi charge bali zinaongezeka, angalia creativity hio.
cover. Nokia cover zao zinatoka vyooooote. Yani unaichange the way unavotaka na rangi zimejaa kibaoooo wewe tu kuchagua rangi gani unataka
hapo ujaja maps, nokia city lens, nokia music (direct), ukijmlisha na feature za wp8 hahaha sion chance ya hio iphone
Labda hizo specific ziwe za uongo iwe ni bora zaidi la sivyo wait copy an paste