Apple Os vs Adroid Os. Ipi ina apps kali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Apple Os vs Adroid Os. Ipi ina apps kali

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by chrisnyoni, Aug 1, 2012.

 1. c

  chrisnyoni Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimetumia Os nyingi sana mazee toka kipindi cha java nkaja symbian, adroid, apple, bb os, but now nimerud tena kwe adroid. Kuna apps kama SPC hii app nikali kwa vicheche haipatikan kwe iphone yeyote
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  unaongelea SPC ambayo unatengenezea beats kwa simu?? sijaona kikubwa kwa hiyo app, then again ave never been a fan of mixing beats and whatnot
  ukirudi kwenye swali lako la nani an apps kali zaidi, jibu ni kwamba hamna, because all the apps and games zinatengenezwa ni the same peeps, utofauti unatoka kwa model ya simu na uwezo wake. hivi basi, huwezi compare fifa kwa iphone 3 na galaxy sIII au asphalt kwa galaxy pocket na ipad3.
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Correction please: ni iOS sio Apple OS,
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,044
  Trophy Points: 280
  aaaarrrrggghhhhh grrrrrrrrrrrrrrr
  Why kwenye mabishano yenu hamuinclude nokia?
   
 5. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hehe chief mimi nimpenzi wa nokia saaana lkn huwa naona os za symbian zimepitwa na wakati kwa muonekano na utumiaji nimehama adroid kwa miezi ya kwanza nilifurahishwa after ka muda kidogo naona 2.3 na 4.0 hazina tofauti kubwa isipokuwa imefanywa isiwe ina lag zaidi.juzi juzi nimetumia lumia sema kweli nimeipenda kwasbb ugandaji wa adroid haupo kabisa pale yaani hakuna mambo ya kuganda wala kuload,ukibonyeza option unayotaka inakupa pale pale.itabidi nirudi nokia hadi itapo shuka windows 8
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,044
  Trophy Points: 280
  hua mi sijuti kuzaliwa tz ila nilifeel bad lumia 900 iliposhushwa bei mpaka dola 49 kwa mwez kwa miez 6 that was a golden chance na mimi kua na wp ila ndo hivo
   
 7. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  voda wangetoa simu nzuri nzuri unalipa kwa kila mwenzi amount flani hadi unamaliza,itawafanya watu wengi kununua smartphones za ghali kwa bei nafuu ambayo haimuumizi mtu wa kawaida.
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Android rules
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  chezea chief ww..,. Itabd nokia wakupe kaz katka sekta ya advertisement.... Teh teh ....
   
 10. c

  chrisnyoni Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna suala la biashara kwe his OS mazee thts y bbm huez pata kwe sim ingine zaid ya BB. Hii SPC(super private conversation) nimetafuta kwe BB, iphone na symbian kote sijaipata na nimeamua kulud kwe adroid if ua using adroid na dem wako anamchezo wa kupekua pekua cm yako plz download spc(super private convesation) hapo utakua umemaliza ugomv wote coz hataona sms ya za wale wasumbufu wako na hata kama itaingia wakat kashika sim na hata akipiga hatajua. Plz download mwenyewe mi sitak kuielezea sana. Bt kama na yeye mjanja itakula kwako.
   
Loading...