chrisnyoni
Member
- Jan 11, 2012
- 21
- 1
Nimetumia Os nyingi sana mazee toka kipindi cha java nkaja symbian, adroid, apple, bb os, but now nimerud tena kwe adroid. Kuna apps kama SPC hii app nikali kwa vicheche haipatikan kwe iphone yeyote
Nimetumia Os nyingi sana mazee toka kipindi cha java nkaja symbian, adroid, apple, bb os, but now nimerud tena kwe adroid. Kuna apps kama SPC hii app nikali kwa vicheche haipatikan kwe iphone yeyote
aaaarrrrggghhhhh grrrrrrrrrrrrrrr
Why kwenye mabishano yenu hamuinclude nokia?
hehe chief mimi nimpenzi wa nokia saaana lkn huwa naona os za symbian zimepitwa na wakati kwa muonekano na utumiaji nimehama adroid kwa miezi ya kwanza nilifurahishwa after ka muda kidogo naona 2.3 na 4.0 hazina tofauti kubwa isipokuwa imefanywa isiwe ina lag zaidi.juzi juzi nimetumia lumia sema kweli nimeipenda kwasbb ugandaji wa adroid haupo kabisa pale yaani hakuna mambo ya kuganda wala kuload,ukibonyeza option unayotaka inakupa pale pale.itabidi nirudi nokia hadi itapo shuka windows 8
hua mi sijuti kuzaliwa tz ila nilifeel bad lumia 900 iliposhushwa bei mpaka dola 49 kwa mwez kwa miez 6 that was a golden chance na mimi kua na wp ila ndo hivo
aaaarrrrggghhhhh grrrrrrrrrrrrrrr
Why kwenye mabishano yenu hamuinclude nokia?