Inauzwa afungapi?Oya kuna Tecno Phantom Fold moja ni balaaaa!
Hapo uliposema utazikuta Makumbusho nimecheka sana.Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
View attachment 3091819
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote zikiwa na iOS 18 ambayo itakua na AI (Apple Intelligence), ambayo kuna tetesi ikawa sio bure (20$/month)!
View attachment 3091816
Pia watazindua Apple Smartwatch series 10 aka series X!
View attachment 3091817
Uzinduzi umeanza saa 2 usiku kwa saa za Tanzania, nadhani kesho saa 4 tutazikuta Makumbusho!
Unaweza kucheki Keynote YouTube hapa:
View: https://www.youtube.com/live/uarNiSl_uh4?si=a-QsuK5SsXIB-f2GIla kama kawaida comments zimefungiwa!
Mchuchu akiitaka hii sina jinsi itabidi nimchukulie fake za wachina kuokoa gharamaMkuu, kuzifukuzia hizi simu unakua mwehu. Hapa ikitoka utasikia Mil 5!
Kama ni mdau wa Apple, huu ndio muda wa kununua iPhone 13!
Mi nikishaona duka moja wauzaji 10 sisogei. Makumbusho sio aisee.Hapo uliposema utazikuta Makumbusho nimecheka sana.
Maduka mengi ya simu yalipo maeneo ya Makumbusho ni ya kishenzi.
Nilishawahi nunua Samsung Note 10+ aisee, ile simu S-Pen ilikuwa haifanyi kazi, niliagiza ikaletwa nikajuta.
Nilishaagiza Screen Protextor aina ya Ceramic nikaletewa haikuwa Ceramic, ilikuwa ni ya glass ila waliweka kwenye boksi la Ceramic.
Dude! 😂😂😂😂Kwenye hili toleo Apple wanakuja na Feature mpya ya ku crop picha
Addiction mbaya sana, binafsi ninapenda sana simu toleo jipya nitanunua tu kwa kweli….nauza niliyonayo naongeza hela nanunua.Mkuu, kuzifukuzia hizi simu unakua mwehu. Hapa ikitoka utasikia Mil 5!
Kama ni mdau wa Apple, huu ndio muda wa kununua iPhone 13!