Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,264
- 44,393
inategemea na matumizi ya huyo mtu mkuu, nimeshataja madhaifu na faida, hivyo unaangalia mwenyewe, usitake kuforce kitu fulani ni kizuri zaidi na ni perfect wakati sio, technology hizi ni changa na bado zina mapungufu mengi hasa kwenye ulimwengu huu wa simu.Mkuu naona unazunguka , najua umezi review hizi mbili sasa nipe msimamo wako FACE ID vs Iris Scanner. Kiujumla which is better ?
inategemea na matumizi ya huyo mtu mkuu, nimeshataja madhaifu na faida, hivyo unaangalia mwenyewe, usitake kuforce kitu fulani ni kizuri zaidi na ni perfect wakati sio, technology hizi ni changa na bado zina mapungufu mengi hasa kwenye ulimwengu huu wa simu.
kama hufahamu even 3rd party developer watakuwa na access na hio true depth camera, kwa mtu ambaye ni security sensitive hio tayari ni big flaw kwake,
ndio maana thread ile nyengine nikawaambia ni security nzuri kwa kulinda msg za whatsapp na vitu vya kawaida vya mtumiaji wa kawaida, ila sio technology itakayokulinda na mapapa na magwiji wa security.
mkuu toka nimekujibu hapa nimeona tena face id imeshindwa kutofautisha mtu na kaka yake tena wana utofauti wa miaka 4,Bado unazunguka au hutaki kukubali tu achievements hii ya Apple , Mkuu hapa tukubaliane tu Face ID usilinganishe na hiyo Iris scanner any how, iko miles nyingi sana mbele ya iris hili liko wazi. Mfano Mimi na appreciate sana kazi za microsoft na bill gates ni mmojawapo ya watu naowakubali (mpaka nina documentary zake), nilimkubali kabla ya Steve Jobs lakini inapokuja ukweli nasema ukweli sizunguki zunguki. Samsung nawakubali sana kwenye TV na siwezi kununua Tv kama siyo samsung, nimefanya recommendation nyingi kwa watu wangu wakanunue samsung TV na hawajawahi kujutia. Mkuu Kitu bora ni bora regardless of how it is made or who made it.
kusema Developers watakuwa na access kwenye true depth camera ndo italeta flaw ni uongo, au ni wishes tu za apple haters, hata touch ID walipewa access hivo hivo but nothing happened.
unasema Face ID inatumika tu kulinda sms za whatsap? serious ? what about authorization of payments kitu ambacho Iris scanner wameshindwa, hivi unadhani kama ingekuwa insecure wangeipa feature hii ya kuruhusu malipo, huoni hela ni kitu sensitive sana ?
Naomba tu tukubaliane kwamba Face Id kwa sasa haina mpinzani kwa maana ya easy to use, fast, convenient and secure plus other added feature ambazo zitakuwa na direct support kwenye app kama snapchat na animoji hapo sijataja Camera app kitu ambacho users wanakipenda sana.
Unajifunga mwenyewe twende kwenye math.mkuu simu ni computer lakini sio PC, kuna utofauti wa pc na computer.
kilugha PC ni personal computer, hata kifaa cha android ni pc, ila kimazoea na kijina pc ni kifaa cha windows na unapotaka kutofautisha computer inayorun windows na osx moja utaiita pc na nyengine utaiita Mac
kama calculator ni computer kwanini simu isiwe computer?
computer ni kifaa tu kinachoreceive data then kinakuwa na programs zinazo process na kukupa information au output. ukiingiza 1+1 ikakupa 2 tayari ni computer hio.
so hujaona sehemu nilioandika ki lugha simu ni pc ila kimazoea sio? au umeamua ki makusudi uiruke? soma upya.Unajifunga mwenyewe twende kwenye math.
umesema
simu = computer..........eqn(1)
pc = computer..............eqn(2)
halafu ukasema tena.
pc =/= simu..................eqn(3)
tuna replace eqn(3) na eqn(1)
inakuwa.
pc =/= computer.
Kwa hiyo mkuu umejifunga mwenyewe kwa kusema pc sio computer.
Maths never lie.
Sio kwamba nilikuwa sifahamu kuna mac na pc ila nazungumzia ki lugha sio kimazoea.
Kama ulikuwa unatambua hilo kwa nini ulikuja kunipinga?nilisema mwanzoni kabisa pc sio simu wala simu sio computer.so hujaona sehemu nilioandika ki lugha simu ni pc ila kimazoea sio? au umeamua ki makusudi uiruke? soma upya.
Ndio kama hp akiwa anauza sana sishangai kwa maana kuna hp za kusomea document kama Celeron na cheap Zaidi ila sio kwa apple.waache Tablet? unajua sasa hivi surface ni billion dollar business? mapato yake yanakuwa kila mwaka.
kaangalie soko la tablet kila mwaka mauzo ya android tablets na ipad yanashuka, tablet pekee ambazo mauzo yanaongezeka ni za windows.
kama wewe ni CEO unge discontinue kitu kinachoingiza matrilioni ya hela?
update
halafu mkuu sijui unafikiria nini, sijajua hayo magraph ya simu ulioeka na mauzo ya surface yanaingiliana vipi
halafu serious kabisa umemtaja vaio mauzo ya laptop? kampuni ambayo imeshauzwa na sony sasa hivi haina hata issue.
Na apple vile vile sio muuzaji mkubwa wa laptop hio ni title ya lenovo, wao ndo wauzaji wa kubwa wakifuatiwa kwa karibu na HP.
na lumia 950 usiilinganishe na kifaa chochote cha surface, hivi vifaa vya surface vinarun full windows na sio os za simu na pia vina innovation kubwa sana na vikitolewa vina define market, mfano angalia hizi products
-surface tablet vs ipad, mpaka apple akawa forced kutoa ipad pro yenye keyboard na kalamu (kuiga surface) sababu surface innovation wise zilizifanya ipad kama toy.
-surface studio vs Mac,
hizi mac zilikuwa tu ni All in one PC ila microsoft akadefine soko kabisa na surface studio, kuanzia display, ile hinge, surface dial, unavyoweza kuieka position tofauti, kalamu, kuchora na mambo kibao.
na kama Hio surface phone itatoka tegemea tena surface kudefine soko, na wengine waanze ku copy kama kawaida yao.
unajua computer ya kwanza ni calculator? hebu hata google kidogo usiandike usichokijua.Kama ulikuwa unatambua hilo kwa nini ulikuja kunipinga?nilisema mwanzoni kabisa pc sio simu wala simu sio computer.
Basi sema simu ni camera.
Huwezi kusema hio ENIAC yenye ukubwa wa chumba kikubwa na ton 15 kuwa ni sawa na ile simu ya Alexander wakati hata nyakati za uvumbuzi ni tofauti kabisa kati ya miaka ya 1800 na 1900.
Kuna simu siku hizi mpaka zinwasha sigara lakini hatuwezi sema ni kibiriti tunasema simu ina kibiriti.
Simu hata siku moja haiwezi kuwa computer bali itakuwa na baadhi ya feauture za computer.
Na wala simu hata siku moja haiwezi kuwa camera bali itakuwa na camera na baadhi ya feauture za camera.
mkuu unaishi kwenye giza toka huko, nimekwambia mauzo ya tablet yanashuka na ya windows yanapanda sio? unajua jina la tablets za windows? wanaita 2 in 1 aka detachable tablet, sababu intel ame discontinue baytrail na cherry trail (atom), cheapest detachable zinatumia core m, na ukiipata bei rahisiii hio core m kifaa chake maybe ni milioni moja ya kibongo ila most of time ni milioni moja na nusu kupanda. hivyo ukiskia mauzo ya windows yamepanda kwenye tablets ujue ni hivyo vifaa vya mamilioniNdio kama hp akiwa anauza sana sishangai kwa maana kuna hp za kusomea document kama Celeron na cheap Zaidi ila sio kwa apple.
Mac ni mziki mwingine kabisa hata wanafunzi wengi vyuoni ndio pc zao hizo hp,dell,lenovo,toshiba tafuta sasa wenye mac labda utamkuta anayo ile dual core kwa hiyo sishangai ila tazama kwenye flagship.
Sishangai apple kuleta keyboard kwa maana hata Microsoft sio kawaida yake kutoa upgrade kwa wateja wake kwa bure kama kwenye windows 10 alivyotoa offer kwa mwaka kwa kuwaiga iosx waliokuwa na hio tamaduni back in days.
Siri akawa Cortana na vinginevyo viiingi kma calculation kwenye search bar kitu ambacho iosx walikuwa wamekisahau.
Continuity ikawa continuum kwenye windows na mengineyo.
Apple anatengeneza pc $2000 ya nn wakati zipo hp nying tu za $700, nanunua 3, moja yangu, nyingine baby alafu ya 3, mtoto! Life goes on!mkuu unaishi kwenye giza toka huko, nimekwambia mauzo ya tablet yanashuka na ya windows yanapanda sio? unajua jina la tablets za windows? wanaita 2 in 1 aka detachable tablet, sababu intel ame discontinue baytrail na cherry trail (atom), cheapest detachable zinatumia core m, na ukiipata bei rahisiii hio core m kifaa chake maybe ni milioni moja ya kibongo ila most of time ni milioni moja na nusu kupanda. hivyo ukiskia mauzo ya windows yamepanda kwenye tablets ujue ni hivyo vifaa vya mamilioni
mfano hio surface ninayokuambia inafanya vizuri ya bei rahisi ni $800 ila zinaenda hadi $4999 na zaidi. ukija lenovo series yake inayouza sana ni thinkpad ambayo inauzwa mamilioni ya hela, ukija dell sana anauza xps, hp anauza spectre etc
tusiandikie mate huu ni mwezi wa 11, mwezi wa kumi kampuni nyingi zilitoa record za mapato ya pc
-Apple Mac division walipata 7.17 billions usd source hapa - iPhone sales up despite iPhone X being late
-lenovo pc and smart device (bila simu) ni 8.4 billion usd source hapa - Lenovo Delivers Solid Revenue Growth in Second Quarter FY 2017/18 | Lenovo Newsroom
-sijapata Data za HP za robo mwaka ila mwaka mzima wana mapato ya 48b hivyo tukigawanya kwa 4 hapo tunapata around 12b kwa robo mwaka, toa sijui vi printer na biashara ndogo ndogo still watazidi hio 7b ya Apple.
hapo unaona jinsi Apple alivyopitwa mapato kwenye uzalishaji wa laptop/desktop na wenzake wa windows kina HP na Lenovo
hivyo mkuu sio tu windows sasa hivi inauza sana kuliko Mac bali pia bidhaa zake zinaingiza mapato mengi. windows inakuwa maeneo mawili
-2 in 1 tablets
-gaming device
na zote hizo ni very expensive ni vifaa vya mamilioni ya hela kama vile zilivyo mac.
continuity ndio nini uifananishe na continuum? kifaa cha ios kinabadilika kuwa osx? ndio nasikia kwako hii una data ambazo hazipatikani internet?
yap specs wise HP au lenovo watakupa mashine nzuri kwa bei rahisi.Apple anatengeneza pc $2000 ya nn wakati zipo hp nying tu za $700, nanunua 3, moja yangu, nyingine baby alafu ya 3, mtoto! Life goes on!
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaah! Itategemeana unanunua pc kwa matumizi gani, kuna matumizi mengine ya pc unaweza kukuta pc yako hiyo ya $700 umewaka moto au imestuck au kazi iliyokupasa kufanya ndani ya nusu saa unaifanya kwa masaa 8Apple anatengeneza pc $2000 ya nn wakati zipo hp nying tu za $700, nanunua 3, moja yangu, nyingine baby alafu ya 3, mtoto! Life goes on!
mfano ngoja nimsaidie hii laptop ya around $700 tegemea na configuration inaweza zidi kidogo, inaitwaHa ha ha ha ha ha ha ha haaaah! Itategemeana unanunua pc kwa matumizi gani, kuna matumizi mengine ya pc unaweza kukuta pc yako hiyo ya $700 umewaka moto au imestuck au kazi iliyokupasa kufanya ndani ya nusu saa unaifanya kwa masaa 8
Nani kakuambia mobile device ni computer?mobile maana yake ni kitu kinacho move au kinaweza hamishika inaweza kuwa gari au vinginevyo.unajua computer ya kwanza ni calculator? hebu hata google kidogo usiandike usichokijua.
simu sio pc hapo mtu anaweza akakuelewa ila simu ni computer hebu google hata definition ya computer uone.
''an electronic device which is capable of receiving information (data) in a particular form and of performing a sequence of operations in accordance with a predetermined but variable set of procedural instructions (program) to produce a result in the form of information or signals.''
je simu haireceive data? simu haina sequence of operation? je simu haitoi information au signal?
mfano nikichukua picha zangu kumi na wimbo wangu mmoja (data) kisha nikaviunganisha kwa kutumia video editor halafu nikarendender (program) kisha nikapata video moja ambayo inaonyesha picha huku background inapiga mziki (information) je hapo si nimedefine computer kwa kutumia simu?
hata ukienda wikipedia wanadefine mobile device kama computing device ambayo unaweza kui operate kwenye mkono wako.
Mobile device - Wikipedia
swali la kizushi, kama simu sio computer kitu gani kinaprocess hio os na app zako?
Mashine nzuri kivipi mkuu? Sema kwamba unapata kwa ulichonacho hiyo pesa kannunue hp ya Celeron ya kusomea vitabu.yap specs wise HP au lenovo watakupa mashine nzuri kwa bei rahisi.
Nimekueleza kabisa kuna hp za leo leo zina laki saba, kwa hiyo sidhani ni vyema kuwapambanisha na akina apple wanaokuja na ssd,core i na 16gb of ram ya ddr4 na retina displaymkuu unaishi kwenye giza toka huko, nimekwambia mauzo ya tablet yanashuka na ya windows yanapanda sio? unajua jina la tablets za windows? wanaita 2 in 1 aka detachable tablet, sababu intel ame discontinue baytrail na cherry trail (atom), cheapest detachable zinatumia core m, na ukiipata bei rahisiii hio core m kifaa chake maybe ni milioni moja ya kibongo ila most of time ni milioni moja na nusu kupanda. hivyo ukiskia mauzo ya windows yamepanda kwenye tablets ujue ni hivyo vifaa vya mamilioni
mfano hio surface ninayokuambia inafanya vizuri ya bei rahisi ni $800 ila zinaenda hadi $4999 na zaidi. ukija lenovo series yake inayouza sana ni thinkpad ambayo inauzwa mamilioni ya hela, ukija dell sana anauza xps, hp anauza spectre etc
tusiandikie mate huu ni mwezi wa 11, mwezi wa kumi kampuni nyingi zilitoa record za mapato ya pc
-Apple Mac division walipata 7.17 billions usd source hapa - iPhone sales up despite iPhone X being late
-lenovo pc and smart device (bila simu) ni 8.4 billion usd source hapa - Lenovo Delivers Solid Revenue Growth in Second Quarter FY 2017/18 | Lenovo Newsroom
-sijapata Data za HP za robo mwaka ila mwaka mzima wana mapato ya 48b hivyo tukigawanya kwa 4 hapo tunapata around 12b kwa robo mwaka, toa sijui vi printer na biashara ndogo ndogo still watazidi hio 7b ya Apple.
hapo unaona jinsi Apple alivyopitwa mapato kwenye uzalishaji wa laptop/desktop na wenzake wa windows kina HP na Lenovo
hivyo mkuu sio tu windows sasa hivi inauza sana kuliko Mac bali pia bidhaa zake zinaingiza mapato mengi. windows inakuwa maeneo mawili
-2 in 1 tablets
-gaming device
na zote hizo ni very expensive ni vifaa vya mamilioni ya hela kama vile zilivyo mac.
continuity ndio nini uifananishe na continuum? kifaa cha ios kinabadilika kuwa osx? ndio nasikia kwako hii una data ambazo hazipatikani internet?
Hebu pelekeni virus zenu huko huu ni ukosefu wa nidhamu kabisa kwa MacBook yaani uilinganishe mac na hiyo dell?mfano ngoja nimsaidie hii laptop ya around $700 tegemea na configuration inaweza zidi kidogo, inaitwa
Dell Inspiron 15.6
https://goo.gl/XQqcJc
unapata nini na nini?
-i7 au i5 7th gen quad core sio hizi dual core za laptop za kawaida
-ram kuanzia 8gb ddr4(inaongezeka)
-nvidia 1050 ti
-ssd atleast 128gb(unaweza eka unayotaka)
-HDD 1tb
-Kioo full HD
ukija Mac ya dola zaidi ya 2000 ina
https://goo.gl/nq6urQ
-same cpu i7 quad
-ram dhaifu za ddr3 16gb
-gpu dhaifu ya Radeon Pro 560
-ssd kubwa zaidi na pengine yenye speed ya 512gb
-kioo zaidi ya full HD
hapo ukitaka mfano 2TB ssd na ram zaidi inafika dola 4000 hio mac
perfomance wise hio dell ya dola 700 inamkimbiza huyo mac wa dola 2000, na kila kitu kwenye dell kinaongezeka kasoro display. na gaming au video sidhani kama utahitaji zaidi ya hio 1080p unless unafanya proffesional graphics na image editing, na pia kwa pro kioo cha macbook ni 8bit tu, kina rangi bilioni 1 siku hizi watu washahamia kwenye 10bit makumi ya bilioni.
Hebu pelekeni virus zenu huko huu ni ukosefu wa nidhamu kabisa kwa MacBook yaani uilinganishe mac na hiyo dell?
Unafikiri kisa hiko ki core i7 na ddr4 ndio uitishie mac?thubutuuuuu!!!!!
Pelekeni hilo toy lenu huko linalounguruna fan kama generator na kuchemka kama jiko,specs hazitoshi kuelezea performance ya hizo device.
Usidanganye watu humu hiyo dell inam outperform mac kwa sababu unafahamu mac ni adimu watu wengi hawana.Samsung na specs zake za juu huwa anakaa kwenye dual core ya iPhone na 1gb ram sasa usidanganye watu humu hizo laptop zinazo miss driver kila siku kwamba ni best sawa?
Naongea kama mtu niliyetumia MacBook na hizo toy zenu za windows ambapo ikifika usiku uliotulia unasikia pc inaunguruma fan kama fridge.
Mac ina design nzuri sana ya kuvutia pia mac vitu kama thunderbolt je hio dell inayo nina transfer Zaidi ya 20gb/s file can you?Tena sasa wana thunderbolt 40gb/s file transefelinganisha na hilo toy lako.
Ukiniwekea core i5 ya dell na dual core ya mac nachukua mac.
Unajifunga mwenyewe twende kwenye math.
umesema
simu = computer..........eqn(1)
pc = computer..............eqn(2)
halafu ukasema tena.
pc =/= simu..................eqn(3)
tuna replace eqn(3) na eqn(1)
inakuwa.
pc =/= computer.
Kitu kinachopinga eqn(2). sasa sijui nikuelewe vipi.
Kwa hiyo mkuu umejifunga mwenyewe kwa kusema pc sio computer.
Maths never lie.
Sio kwamba nilikuwa sifahamu kuna mac na pc ila nazungumzia ki lugha sio kimazoea.