Mimi nimekupa boost, wewe ya kwako BEI iko chini, zaidi ya bei ya hizo za kwangu with same specifications and extras. Badala ya kuniponda ungenipa complements, na kutoa maelezo ya ziada ili watu wajue these items are not cheap, and yours is very cheap indeed. I am sorry kama umeona nimekuharibai business.
Thread haina hati miliki, mimi nimeshaweka thread hapa na watu wanatangaza biashara zao on top ya thread yangu. Tukianza kuweka huo ubinafsi wa thread, zitakuwa nyingi mno hata kutafuta kitu itakuwa shida, labda tuanzishe craig list kama ilivyo kule marekani ndio unaweza kuhodhi link yako
But all in all, i am sorry OK