Apple Ipad (Best Xsmas Offer)

Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,181
517
Apple IPad WiFi + 3G, 32GB Storage, Factory Unlocked, 1GHz Cortex-A8 Processor, IOS 5.0.1, 6930mAh Battery, Including Rechargeable Kensington wireless keyboard, 9.7" Screen all at 700USD or 1,100,000/=,,,, Contacts: 0716-904626, maelewano yapo.

ru1qwk.jpg
ve4wev.jpg
a1tw80.jpg
35hrer9.jpg
21m6kpk.jpg
14ioho1.jpg
 
swali nnalojiuliza kuna siku zitashuka kwel na kufikia mayb 500k
 
vitu vingine havishuki bei naomba mungu vifike angalau usd 500 mpya ili wengine tusisevie
 
vitashuka tu mkuu, ila nikwambie tu ni device ambayo hutoichoka kwa muda mrefu sana, inachovutia sana sana ni uwezo wa battery yake kutunza charge kwa siku kadhaa, Internet Browsing, Books Store, Office functionalities nk',,utasahau kabisa kama una Laptop nyumbani,,, :eyebrows: :eyebrows:
 
bado ipo na upya wake ule ule toka kwenye boksi,,
sijakuelewa hapo,,

Ni used? Hilo ni swali la msingi. Mimi ninazo 2 mpya ndani ya box hazijawahi kufunguliwa zaidi ya kuonyeshwa kwa wanunuzi.zina carrying case ni Ipad 2, wifi+3G, 32gb. Realistically my asking price ni dola 900. Hiyo bei ya 700 sijui umeipataje manake kwenye duka la apple ni dola 780. Key body ni dolal 80 plus, sema kwa vile imetumika au ina defects-- si imeshachokonolewa kwa kuwa unlocked? Ilikuwa ya VERIZON AU YA AT&T?
 
mbona unaharibu biashara ya mwenzako unatuchanganya sisi wanunuzi, si uanzishe thread yako uuze hizo za dola 900 tuzione
 
biashara yako umetangaza wapi?
 
imekuwa unlocked toka kiwandani 'Factory Unlocked' by Apple, nimeinunua mwezi uliopita bado ni mpya, hujanyimwa kutangaza zakwako unaandika maelezo na asking price kwenye thread yangu ili iweje' niache kuuza yangu nikutafutie wateja au',,benchod :embarassed2:
 
mbona unaharibu biashara ya mwenzako unatuchanganya sisi wanunuzi, si uanzishe thread yako uuze hizo za dola 900 tuzione
Hehe miluzi mingi humpoteza mbwa.hata mimi mnanichanganya nyie wabeba boksi,pale Vodacom shop Mlimani zipo na haziuzwi hizo dola 900 kama anavodai ICHONDI,mambo ya States ni huko huko hapa ongeleeni mambo ya bongo na bei za kibongo
 
Hakuna anayeharibu biashara ya mtu hapa, watu wanaoangalia hapa ni watu waelewa. Kuanzisha thread sio issue but same thread inaweza kutumika kutoa choices, hakuna mwenye hati miliki ya thread hapa JF, kama ni hivyo isingekuwa tunachangia. Kama ilikuwa niharibu biashara yake ningeliweka price ambayo ni cheap than his

Mlimani zipo ipad kweli, na mimi ninazijua, but specifications zinatofautiana, the fact kuwa ni ipad haimaanishi bei yake lazima iwe unifrom, kaangalie specifications then ucompare na specifications hizi tunazoweka hapa then ndio uandike ulichokuwa unataka kuandika ili tuamini unachosema

Halafu sio vizuri kuwaita watu walioko nje ya nchi ni wabeba mabox, sijui hiyo lugha ya wivu na upashikuna unaileta hapa JF ili iweje. Kila mtu anaweza kuishi popote anapotaka, the fact kuwa wewe unaishi hapa Tanzania kama mimi haikupi mamlaka kuwafikiria wanaoshi nje ya nchi ni wabeba mabox. Kwa taarifa yako wapo maprofessor, engeneers, madakatari, manesi , wachumi, wahasibu, computer progrmamers etc wanaoishi na kufanya kazi nje ya nchi, na kwa asilimia kubwa wanachangia uchumi wa tanzania kwa kutuma fedha huku nyumbani, sio vizuri kuwadharau na kuwapachika majina ya mtaani, koma!!
 
imekuwa unlocked toka kiwandani 'Factory Unlocked' by Apple, nimeinunua mwezi uliopita bado ni mpya, hujanyimwa kutangaza zakwako unaandika maelezo na asking price kwenye thread yangu ili iweje' niache kuuza yangu nikutafutie wateja au',,benchod :embarassed2:

Mimi nimekupa boost, wewe ya kwako BEI iko chini, zaidi ya bei ya hizo za kwangu with same specifications and extras. Badala ya kuniponda ungenipa complements, na kutoa maelezo ya ziada ili watu wajue these items are not cheap, and yours is very cheap indeed. I am sorry kama umeona nimekuharibai business.

Thread haina hati miliki, mimi nimeshaweka thread hapa na watu wanatangaza biashara zao on top ya thread yangu. Tukianza kuweka huo ubinafsi wa thread, zitakuwa nyingi mno hata kutafuta kitu itakuwa shida, labda tuanzishe craig list kama ilivyo kule marekani ndio unaweza kuhodhi link yako
But all in all, i am sorry OK
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom