Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,859


Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2 kwa watumiaji wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 zote; ili kurekebisha matatizo ya Kamera za iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max.

Siku chache zilizopita baadhi ya watumiaji walikuwa wanalalamika kamera ya iPhone 14 Pro ilikuwa inatikisika na kutoa kelele kwa ndani. Matatizo hayo yalikuwa yanatokea pale mtu akitaka kurekodi picha au video kwa kutumia app za Snapchat, Instagram na TikTok.

Apple imefix matatizo hayo na imesisitiza watumiaji wote wa iPhone 14 kuweka update hii ili kusaidia Stabilizer ya kamera ya iPhone isiharibike.

๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฐ:

1๏ธโƒฃ Simu kuonyesha rangi nyeusi kwa muda mrefu; baada ya kufungua simu kwa mara ya kwanza

2๏ธโƒฃ Ujumbe wa Copy and Paste ulikuwa unajitoa kabla mtu hajafanya maamuzi

3๏ธโƒฃ Kuna baadhi ya iPhone 14 zilikuwa hazitoi mlio baada ya kuwasha simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ