Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,594
- 2,435
Habari wakuu,
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii, tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina ya apple desktop ,all in one, zenye sifa zifuatazo; Hard disk ni 160GB, ram 4GB, core 2 duo ambazo
1. Hazihitaji CPU ,hivyo unaokoa nafasi kwenye meza.
2.Zinaokoa gharama kwani hazihitaji moderm kupata Internet kwani zinakamata hotspot ya simu
3.Zinaokoa muda kwa kuwa mlango wa DVD/CD upo ubavuni mwa monitor (screen) na port ya flash ipo nyuma ya screen.
4.Unaweza unganisha na king;amuzi kwa kutumia TV tuner ikawa TV
.Bei ya ofa ya apple desktop ni Tsh.500,000 (Laki tano tu) kwa wiki hii, wiki ijayo jumatatu ya february 22 2021 itarudi Tsh 600,000 (laki sita) kama kawaida.
OFA YA VITABU KWA KILA COMPUTER
Vitabu vitano vya ujasiriamali bure kwa mteja, navyo Ni:
1. Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. Bamia,Ufuta,Nyanya ,papai.
2. Kiwanda cha nyumbani( Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k).
3. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku wawili na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga).
4.Online Sales (Jinsi ya kuandika tangazo facebook , likajipost lenyewe Instagram na majibu ya wateja ukayapata Whatsapp).
5. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti.
Piga simu 0713 039 875 au 0742 499 177 kuwahi ofa hii. Kwa Dar es salaam unaletewa, Kwa mikoani tunatuma. Tupo Kariakoo jirani na China Plaza.