Apple cider vinegar ni tiba mapajan

Apple cider vinegar ni tiba mapajan

kidada1986

Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Jamanie nina shida moja mapajan pamekua weus kwa sasa wakat me ni mweupe nataka kujua mwenye ujuzi na apple cider vinegar kwenye kuondo weusi kwapan mapatan na shingon msaa plz mwenye kujua vizur plz nahitaj msadd
 
Ni Pm nikupe maelekezo mkuu.
Kuna mahala inapatikana
 
Back
Top Bottom