...kang acha kutumia talking points za ant Apple,tumeziona sana all over the net,kubali tuu Apple wako kwenye league ya peke yao kuanzia Mac,Iphone,Ipod etc hakuna comparison hapo sijui kama una experience na product zao nina uhakika ukitumia computer zao hutatoka tena,na kumbuka hii itakuwa first generation Ipad kwa hiyo upgrade na improvements zitafuata tuu,na nani anahitaji flash or USB nilichoona kina miss labda ni multitasking lakini sio big deal maana still naweza kutumia itune na mengine yanaendelea
Ha haaa haaaaaaaaa..................... nilijuwa tu utatokea huko.
By the way, hiki kiPAD kinaizidi nini Netbook ambayo hata unapoibeba inafunga screen na keyboard? Hawajanifurahisha sana ingawa wanasema siku zote shatani yuko kwenye details.
Hawa Apple wana mpango gani wa kuanza kwenda 3D?
Nilifikiri huyu Mwaarabu (steven Job) atatushangaza tena kwa kuja na screen ya kiajabu ajabu. Ngoja tuendelee kusubiri..........
Apple sasa wameruhusu VOIP na then hii live TV appl. seems Ipad itakuwa ni must have,na hii ni just first gen Ipad,can you imagine the 2nd,3rd,4th....etc itakuwaje ....go go Apple!
its about application.....Kimweri waambie hao,naamini hii kitu itakuwa megahit kuanzia college student mpaka wallstreet,wanaotumia iphone can se that coming,tusubiri tuu.
Koba, ni kweli Kimweri has a point kuhusiana na apps, and i won't dismiss that at all. Ila kitu kimoja ambacho naona mnasahau ni wakati na nyakati ya hii particular launch. Wamechelewa. Hii iPad ilitakiwa iwepo 2.5 to 3 years ago. Everything was at their disposal for them to debut this piece of hardware. Walifanya hivyo kwa iPhone na variation za iPod ndiyo maana ni industry leaders and are never outdone. Lakini katika hii iPad, karibia kila kitu kimeshafanyika in innovativeness. Ndiyo watu wataongezea application zaidi ya zile zilizopo sasa hivi, but the bottom line remains kwamba the type of innovation is not new. Iwapo iPhone inafanya karibia kila kitu kilichopo katika iPad; iPad not being pocket friendly like iPhone and not being as functional as a mac pro book, where is the cross in the near future for students to wanting to make do with an iPad instead of the other two??
Hakuna kitu hapa, subiri kidogo, HP wanatoka na yao ambayo ni full computer, na Google nao wanatoka na yao ya Android, at least itasupport multitasking na Flash. Au nunua Netbook.
Kama unataka uonekane fashionista na Apple logo be my guest, otherwise WAIT.
Yes, sheep consumers who think they need to have the latest shiny device to boost their self esteem will buy this thing no doubt, the educated consumer will not. Period.With the iphone they left behind massive consumer demographics as well,some apps had more potential than the screen estate iphone could offer,you would agree with me if you had a chance to view kindle for iphone.
Now with the iPad it's just a piece of cake!..,
3 years ago,the iPhone was just another gadget,very outdated,it lacked MMS for Pete's sake!came with a 2MP camera,with no bluetooth support,so 2003how could such a phone sell MILLIONS?
Every smartA$$ dismissed the iPhone,they said it was definitely abeauty but there is no way it would go mainstream.
kama uliangalia keynote ya schillers about medical apps last macworld uta-realise potential ya hii kitu.
Kuhusu Hardware lacking this is a very basic marketing plan from Apple,cripple it,give it the best performance to draw in the masses,once everyone is at the party,give out the goodies for the nerds.
When the ipod came out back in 2001 it was not the best hardware packing MP3!!it was far outdone by creative jukeboxes as well as sony mp3!!people made so many jokes about it...,infact it was a pure work of art with very basic hardware capabilities.same story here buddies..,
UNLESS the US content prvides DITCHES APPLE,unless they get a class Action lawsuit,or a cort order to prohibit content into this thing.IT IS A SUCCESS.every dick and harry will have this in college campuses,ever cool guy will pose with t in starbucks,nerds will be left wondering WTF?
as much as i love high performance gadgets,i do like aesthetics,and apple is simply the best in that.
Kuhusu INNOVATION,i said it before and many would agree..,this was a BUSINESS DECISION from apple..,they have the potential market and they are going for it.they have a void in their demographics they are filling it.
with this thing i expect innovation to come from content provider more than apple,i expect garmin to have their GPS kits there,i expect major labels to have their contents there(oh o forgot they all do have their content through the iphone!)
the iPhone has a very expensive contract tied to it,where as the iPad hasn't.
For most iPhone users call quality has never been that good,so they tend to carry two phones,so i expect such people to start stacking the iPad in their bags.
There are so many ppl out there carrying notebooks,while they are such underpowered devices!!eeeephw..,have you seen the latest version of twitterlator?facebook?!they will scale perfectly in this..,for those notebook wanabe..,this will be their promised land..,an entry point to steve's holly land.
Didi you see how well the hearld NEXUS ONE perfomed in its firt month of sales??!DISSAPOINTING.
when was the last time did you really "multitask" with ha notebook?!the only notebook worthy of multitasking is worth $2000.yeah am talking about Lenovo Thinkpad X300.this is the only "real" multitasking notebook.
The rest are a compromise between looks,size and ooh well..,multitasking or lack of it.
as a developer i used to avoid flash most of the time,and 70% of the time i advised against it,just avoid it,if you want speed.if you develop a website,content or anything in the web,usage of Flash will just decrease perfomance.
The only time flash was fun was back in the days when having a desktop PC was viable.
Now even Adobe are realising that falsh as it is is just a letdown,no wonder they are trying to push flashlite,and microsoft is pushing silverlight,while google is giving second thoughts on HTML5.
DO NOT BUY A NETBOOK,if you can;t afford Dell XPS or LENOVO THINKPAD X300,
and if you still think you can do fine with a notebook then you probably have no idea what flash is and how it works.
Point is,if you really need a multitasking netbook,you probably don't need one,you need a decent laptop.
Apple realised that,that is why up until now they are tring to keep Multitasking down until mobile processors are robust and efficient enough to handle the tasks as well as keeping Power consumption down.
Also,please do not wait for imitations of iPad,you will be dissapointed.same as those who waited for iPhone killers or Kindle Killers.it wont happen
i would advice you wait for iPad 2.0 or something.
kang bwana yaani the way ur bashing Apple ni kama the whole thing is useless,naona kwako flash na multitasking is a litmus test,flash sio kila kitu na sio wote tunapenda flash,siipend inafanya gadgets zangu zinakuwa kama kobe,flash inatumika sana na youtube na ndio provider wakubwa sana wa content zinazohitaji flash lakini kumbuka Apple wana appl ya youtube bila flash na unaweza kuangalia bila tatizo...waulize zune na AKA (ipod zao) wamefika wapi?Nexus one is a good phone na inaweza kuwa league moja na iphone lakini something missing pale ndio maana people are not crazy about it,wewe tuite sheepie lakini Apple product are superior kuliko nyingine unazoona za maana....hata Mac is better than PC 10000000% na ukitumia Mac huwezi tena kurudi kwenye PC.
iPad is an aggressively hyped pricey piece of garbage with no specific use and mediocre justification for a host of functions.
Watu wengine wanataka vitu vya Apple kama fashion statement tu.
Not practical at all.
...hyped price? kanunue lenovo basi for 2000$
kang bwana yaani the way ur bashing Apple ni kama the whole thing is useless,naona kwako flash na multitasking is a litmus test,flash sio kila kitu na sio wote tunapenda flash,siipend inafanya gadgets zangu zinakuwa kama kobe,flash inatumika sana na youtube na ndio provider wakubwa sana wa content zinazohitaji flash lakini kumbuka Apple wana appl ya youtube bila flash na unaweza kuangalia bila tatizo...waulize zune na AKA (ipod zao) wamefika wapi?Nexus one is a good phone na inaweza kuwa league moja na iphone lakini something missing pale ndio maana people are not crazy about it,wewe tuite sheepie lakini Apple product are superior kuliko nyingine unazoona za maana....hata Mac is better than PC 10000000% na ukitumia Mac huwezi tena kurudi kwenye PC.
Sasa una compare hyped price for another hyped price?
Hayo ma overpriced Lenovo ma Sony yote yanatengenezwa maalum kwa suckers fulani ambao hawajui the essence ya msemo "A fool parts easily with his money". Na watu wasiojua kufanya homework zao.
Hujanipata bado. And that does not mean I am not a gadgeteerer.That does not mean I am cheap, just reasonable.
Ukitaka kuenda resiresi na hivi vidude watakugeuza money making machine yao.
Ok sawa labda flash na multitasking is not for everyone. Mimi nisichoelewa ni "what is this thing for?" what does it do that a netbook/laptop cant?
Kuna watu watasema unaweza kusoma vitabu, ok kwanini Apple wasingeuza hivyo vitabu kwenye Laptop/Desktop zao? iPad haina e-Ink kama Kindle so haileti raha ya kusoma novel nzima kwenye screen ya kompyuta ya kawaida. Wanasema ina 10 hours battery life ok this is good, but Kindle ina 1 week battery life.
Kwa video sijui utapata battery kiasi gani, na resolution haifai kwa widescreen. Umeshawahi kufikiria hasa hiyo ipad utaishika au kuiweka vipi wakati unaangalia muvi ya masaa 2-3? Kweli ni bora kuliko netbook kwenye hili?
Kwa kweli I dont see it.
Na Apple hawaweki Flash kwa sababu wanaogopa itakula faida za apps zao, hili la performance ni excuse tu.
Angalia Google Nexus One inapata flash karibuni, yaani simu inazidi nguvu hii kitu?
http://www.youtube.com/watch?v=vlWOocHwcLo
Ok sawa labda flash na multitasking is not for everyone. Mimi nisichoelewa ni "what is this thing for?" what does it do that a netbook/laptop cant?
It is more for casuak readers,People who gets paid to read buy Kindle and such,when you understand demographics you will understand market position ya iPad.Sio kila mtu anasoma 10 hours a day!!Not everyone is an editor of NY TIMES!Kuna watu watasema unaweza kusoma vitabu, ok kwanini Apple wasingeuza hivyo vitabu kwenye Laptop/Desktop zao? iPad haina e-Ink kama Kindle so haileti raha ya kusoma novel nzima kwenye screen ya kompyuta ya kawaida. Wanasema ina 10 hours battery life ok this is good, but Kindle ina 1 week battery life.
Kuhusu Kuishika au kuiweka wapi subiri uione ikianza kuuzwa,as for now i visualize myself holding it in a couch youtubing,tweetering,facebooking all day with it!(sorry i have a day job,so will probably use it for 2 hours max a day, Happy hours)Kwa video sijui utapata battery kiasi gani, na resolution haifai kwa widescreen. Umeshawahi kufikiria hasa hiyo ipad utaishika au kuiweka vipi wakati unaangalia muvi ya masaa 2-3? Kweli ni bora kuliko netbook kwenye hili?
Kwa kweli I dont see it.
Na Apple hawaweki Flash kwa sababu wanaogopa itakula faida za apps zao, hili la performance ni excuse tu.
Angalia Google Nexus One inapata flash karibuni, yaani simu inazidi nguvu hii kitu?
http://www.youtube.com/watch?v=vlWOocHwcLo
Sasa una compare hyped price for another hyped price?
Hayo ma overpriced Lenovo ma Sony yote yanatengenezwa maalum kwa suckers fulani ambao hawajui the essence ya msemo "A fool parts easily with his money". Na watu wasiojua kufanya homework zao.
Hujanipata bado. And that does not mean I am not a gadgeteerer.That does not mean I am cheap, just reasonable.
Ukitaka kuenda resiresi na hivi vidude watakugeuza money making machine yao.