Apple activation lock is finaly bypassed

mgeni3

JF-Expert Member
Jun 4, 2010
230
195
katika pita pita zangu nimekutana na hiyo kitu last week, at the time being nlikuwa sina simu ya kujaribia jana nimejaribu it works kwa all iphone models na ipad + ipod touch, the only backside ni ishu ya bootloop na hupati mobile network kitu inakuwa kama ipad by so far jamaa wamefikia mbali coz bado ni work in progress.... kinachofanyika ni kwamba wametengeneza server yao ambayo inabehave kama apple activation server kwahiyo badala ya kuactivate simu, ipad au ipod yako kupitia servers za apple unatumia zao kwa kuedit hosts files ndani ya windows... this process inatumia itune hii hii ya apple except kwa server ambayo ndo unatumia ya doulci kwa wakati itakapo kuwa online.

source; doulCi, Hackers Bypass Apple’s iCloud Activation Lock

HACKERS wanaohusika na hiyo kitu ni https://twitter.com/MerrukTechnolog/with_replies, https://twitter.com/AquaXetine/with_replies HAWA WOTE KUTOKA DOULCI

Ukiacha hao pia kuna hackers kama https://twitter.com/ragemasta na https://twitter.com/minacrisOficial
 

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
2,932
2,000
Kwenye title umesema FINALLY BYPASSED halafu kwenye maelezo yako unasema "work in progress", ndio tuelewe vipi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom