Appeal bodi ya mikopo elimu ya juu: Vrification status -In progress!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Huu mfumo wa kuappeal mwaka huu ni kama kiini macho!!!! Kwanza password za wengi ziligoma na hata walipobadilishiwa password, verification status ya viambatanisho ilikuwa ni pasua kichwa. Muda wote inasoma in-progress mwisho wa siku unaambiwa apeal status-FAILED!!!!!!! Sijui hii ndiyo nini?
 
Hii kitu nimeshindwa kufahmau na Mimi ni tatizo la kiufundi au ni nini,,,tunaomba wengine watujuze kama wanaona hvyo pia.
 
Back
Top Bottom