App ya Voucher Master

Wapo wengi. Pia app ina huduma zingine za ziada sio kuweka vocha tu. Mwingine anakua hana salio kwenye mobile money au anadaiwa mkopo huko so ananunua vocha ya kukwangua tu
 
Msaada wenu kulijaribu Game langu la Drafti.
Kwa sasa unaweza kufanya yafuatayo

  1. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani katika uwanja wa ushindani wa mtandaoni.
  2. Cheza na Marafiki – Unda mechi yako binafsi na mshirikishe rafiki yako (game code) ili mcheze pamoja kutoka popote mlipo.
  3. Aina Mbalimbali za sherka (Game Variants) – Chagua sheria unazopenda, ikiwemo ya Tanzania, Kimataifa, Marekani, na nyinginezo nyingi.
  4. Cheza dhidi ya Akili Unde (AI)
  5. Ubao wa Wanaoongoza (Leaderboard) – Shindana na wenzako ili kupanda viwango na kuwa bingwa namba moja wa Kimataifa au Tanzania.
  6. Marudio ya Mechi (Match Replays) – Tazama michezo yako ya awali au michezo ya wachezaji bora ili kujifunza mbinu mpya na kuboresha uchezaji wako.
  7. Hali ya Kutazama (Spectator Mode) – Tazama mechi zinazoendelea moja kwa moja (live) kati ya wachezaji wengine.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…