App ya usafiri kama uber bila smartphone

App ya usafiri kama uber bila smartphone

makasy

Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
15
Reaction score
1
Nimeendelea kumchimba jamaa anayenipa taarifa za App yao ambayo inafanya kazi kama Uber ameniambia Madereva tutaweza kufanya biashara hata kama hatuna Smartphone. Ila Abiria watalazimika kuwa na Smartphone.

Hii inawezekana Lakini kwenye Maps & Navigation?
 
Back
Top Bottom