Naomba kujua app bora kwa ajili ya kudukua kwenye androidhakuna ukweli ,ila zipo app ambazo zinauwezo wa kuspy other phone ila nimpaka uinstall kwa simu ya muhusika ,na njia nyingine ni kwa kalilinux ila sijawahi ona njia ya kuwa na namba ya mtu ukaweka kwenye app ukapata sms zake.
Ww sema unataka kumdukua mpenzi wakoNaomba kujua app bora kwa ajili ya kudukua kwenye android
Lost of resources mkuu, learn either to trust or ignore!!Naomba kujua app bora kwa ajili ya kudukua kwenye android
Mkuu Chief-Mkwawa hivi izi app uki download uka ruhusu access kwenye sms,call,contact na gallery ni ina maana wana ona kila kitu kwenye ivyo ulivyo ruhusu ? Like wana soma sms na vingine vyoteHakuna kitu kama hiko yaani udownload app kwako uweke no ya mtu upate data zake? Huo ni utapeli.
Ili upate data za mtu ni lazima kuwe na loophole kwake.
Ndio wanaona,Mkuu Chief-Mkwawa hivi izi app uki download uka ruhusu access kwenye sms,call,contact na gallery ni ina maana wana ona kila kitu kwenye ivyo ulivyo ruhusu ? Like wana soma sms na vingine vyote
Na pia uki delete wana baki na izo daa zako zote ?