APP YA KUSOMEA VITABU

APP YA KUSOMEA VITABU

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
127
Reaction score
173
Wakuu nauliza app ya kusomea vitabu Kwa tablet Pc ambayo itanipa flavour ya kusoma kama vile nipo kwenye hardcopy nina mini pc ina run Windows 10, Nataka software ambayo ninaweza ku resume page nilio ishia even if nime turn off PC yaki kianze nilipoishia hicho kitabu.
 
Saf sana. Hili jambo huwa linanitatiza sana. Cheaf mkwawa na wadau wengne njooni mtusaidie
 
Wakuu nauliza app ya kusomea vitabu Kwa tablet Pc ambayo itanipa flavour ya kusoma kama vile nipo kwenye hardcopy nina mini pc ina run Windows 10, Nataka software ambayo ninaweza ku resume page nilio ishia even if nime turn off PC yaki kianze nilipoishia hicho kitabu.
Tafuta hii Sumatra mwisho wa matatizo hii ni kwa pdf.
Hata km ukikaa mwaka haujasoma kitabu, siku ukifungua unaanzia hapo hapo ulipoishia.
Sifa ya hii.
-ukishafungua kitabu kinajisave kwahiyo hata ukitaka kusoma haina haja ya kutafuta hicho kitabu bali unafungia program yako unakikuta.
-Ina zoom in and out
Kwa upande wa other format km doc, docx,docm bado sijajua mkuu
 
Boss iko poa sana hii nuimedownload
 
Back
Top Bottom