App ya kimapenzi Tanzania

Miyeyusho

Member
Joined
Aug 14, 2020
Posts
24
Reaction score
36
Habari wakuu?
Mambo vp?

Ebwana leo nimeona niwashirikishe jambo fulani na nyinyi nipate mawazo yenu na nijue pia taratibu za kisheria zimekaaje katika hili na naweza kuanzia wapi?

Nimefikiria kuanzisha App ya kusaidia watu kukutana mtandaoni baina ya jinsia mbili tofauti, wenye shida ya mchumba, kununua malaya au kijana wakumshughulikia for one night, kuangalia mtu yoyote ambaye yupo karibu nawe na anahitaji kampani ya kufanya mapenzi au kuwa pamoja tu kwa siku hiyo.

App hiyo nataka iwe katika mfumo wa membership, ambao watu watakua real kuanzia jinsia zao na wanachokihitaji, sio wanamme anatumia identification ya mwanamke hili ajipatie pesa kwa njia ya udanganyifu hapana. Bali ata kama mtu atatumia jina ambalo si la kwake kwa mfano labda A.K.A lakini tutajidhihirisha jinsia na dhamira yake ya kuwa member, kwahyo profile yake itaonyesha jinsia halisi na anachokihitaji. Lengo la App hilo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma za kimapenzi na mahusiano na kuondoa upweke tunaoupata aswa tukiwa ugenini. Naamini itasaidia ata kuzuia kulandalanda kwa makahaba mitaani bali watafanya kidigitali.


Karibu kwa ushauri.

Asante sana.
 
Lakini pia kuibiwa ni raisi kabisa ,kwa sababu wengine sio waaminifu
 
Yaani kama Badoo, Tinder, Hi 5 au?
 
Avatar sasa ya mweka mada ni majanga..๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฆโšซ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ปโšซ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฎโšซ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ดโšซ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช
Karibu upakue App hii ili uweze kuangalia channels za kibongo NA mpira live.zipo WASAFI TV. SINEMA ZETU.TBC MTV ITV ,KOREAN DRAMA na nyingine nyingi BURE
...

DOWNLOAD/BONYEZA HAPA APP IPO PLAYSTORE

๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
 
Anzisha tu mkuu nitakuwa mteja mzuri tu
 
Kwaio juma ndio umeamua kwl ufungue danguro la mtandaoni.
Mungu anakuona.
 
Lakini pia kuibiwa ni raisi kabisa ,kwa sababu wengine sio waaminifu
Anachoongelea ni Dating app..
Ni wazo tayari common, so trick ni kulifanya unique tu

Hakuna cha kuiba hapo
 
Nipe 10M nikutentenezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ