Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Wakuu hii Jf app inasumbua sana kwenye iOS, yani kuclik ili uanze kuitumia inagoma kabisa sijajua ni vile niko nje ya tz ama ni wi-fi ya hapa kwangu, mpaka sasa niende kwa desktop. Kuna mtu anaweza nisaidia how to go about this problem tafadhali maana nimekuwa na-unistall na kuinstall upya lakini wapi yale yale.