Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Habari Wapendwa, Napenda kutoa App ya Bure ya Android kwaajili ya Blogger. Lakini pia nataka support yenu kwenye channel ya Tanzania Tech. Hivyo basi Kama kuna mtu anataka App please follow these simple step... Wa kwanza nita mtengenezea App sasa hivi.