๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐˜๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐˜ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ ๐—บ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250730_092139_0000.png

Program ya Bitchat ni app ambayo imetengenezwa na aliyekua muanzilishi wa mtandao wa Twitter Jack Dorsey Sasa inapatikana kwa watumiaji wa iphone.

2_20250730_092139_0001.png
3_20250730_092139_0002.png

Program hiyo ya Bitchat inafanya kazi kupitia Bluetooth mesh network inampa mtu uwezo wa kumtumia Ndugu,jamaa na marafiki ujumbe kwa njia ya Bluetooth ndani ya umbali wa MITA 100 bila kutumia data au wifi.

6_20250730_092139_0005.png
7_20250730_092139_0006.png

User interface yake iko very simple sana hamna mambo mengi, kwani hakuna ku login au kujisajili bali ukifungua app inakupelekea moja Kwa moja sehemu ya kuweza kuchati na watu uliokaribu nao.

4_20250730_092139_0003.png
5_20250730_092139_0004.png

Utaweza ku change username yako muda wowote ukihitaji bila limitations app hii Kwa Sasa inapatikana app store kwa watu wa Android karibu kwenye groups letu la Whatsapp utaweza kuipata.
 
Program hiyo ya Bitchat inafanya kazi kupitia Bluetooth mesh network inampa mtu uwezo wa kumtumia Ndugu,jamaa na marafiki ujumbe kwa njia ya Bluetooth ndani ya umbali wa MITA 100 bila kutumia data au wifi.
Haiwafai waswahili hiii, mita 100 watamtongoza nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom