Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,887 Reaction score 3,118 Sep 4, 2021 #1 Habarini wana jamvi, Naomba msaada wa App ya Android au iOS ambayo nitaitumia kutuma ujumbe mmoja kwa watu wengi, ambapo pia mpokeaji atapokea ujumbe ukiwa na jina la taasisi/kampuni au huduma iliyomtumia ujumbe na si namba. Natanguliza shukrani.
Habarini wana jamvi, Naomba msaada wa App ya Android au iOS ambayo nitaitumia kutuma ujumbe mmoja kwa watu wengi, ambapo pia mpokeaji atapokea ujumbe ukiwa na jina la taasisi/kampuni au huduma iliyomtumia ujumbe na si namba. Natanguliza shukrani.
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,684 Reaction score 3,558 Sep 4, 2021 #2 Nunua bulk sms
Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,887 Reaction score 3,118 Sep 4, 2021 Thread starter #3 Ugumu wangu said: Nunua bulk sms Click to expand... Gharama zake zikoje?
griffin griffith JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 549 Reaction score 442 Sep 4, 2021 #4 Ugumu wangu said: Nunua bulk sms Click to expand... Ipoje hii? Fafanua mkuu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,421 Sep 4, 2021 #5 Watafute fabievents wana hiyo huduma