Habari wana jf naomba msaada nimekutana na hii app ya ku hack simu wakanipa maelekezo hadimwisho nikakuta kuna kuingiza code na hiyo code unailipia sh 46,000 wanasema unaweza kuhack namba ya simu na mwenye simu asijue, nikweli nataka kuhack namba kwasababu ninamume mchungaji mzinzi mno kila nikimwambia anakataa anatishia kunipiga kila siku na ameshanitamkia kua iko siku ataniua kwajili ya kumfatilia nimeenda mahakamani kudai talaka wamesema sina kidhibiti cha kumshika kuwa yeye ni malaya , anaendaga kuwaombea wanawake wajane ambao wanaukimwi kwasababu anawashauri pia watumie dawa waki improve anawala sasa atakuja kuniletea ukimwi niko kwenye magumu sana nisaidieni kwa anaejua app ya kuhack si kwania mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

PM